Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,286
- 5,512
Nashukuru sana. Kijana anaenda kulala huko usiku huu.Mkuu kwa Kanda ya Dar mwambie afanye haraka kuwahi kesho asubuhi mapema by saa 1, Halmashauri manispaa kigamboni ndo show inafanyika!
Mkuu mbona dundo lipo kwenye tovuti yao kitambo hata kabla hawafanya written walitoa venue mapema