HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Feedback: It seems sio muhimu kwasababu hawaikagui.
Walioenda Oral kwa post ambazo sio za academician (kufundisha), Transcript ni lazima uende nayo?. Au mtupe tu general experience yenu kwenye hili.
Angalia attachment hapo for your reference.
 
Nilifanya udadisi kwa wazoefu wanasema kuanzia 15k, 20k kwenda juu
Hizo bei ni Kwa pale City Centre ila Kwa guest za nje kidogo ya jiji zipo za kuanzia 10k, Cha msingi siku akifika Dodoma anatakiwa afike mapema aongee na Bodaboda hakuna kitachoshindikana.
 
Hakika Mkuu 🤝
 
SERIKALI YA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ITAFUTE NAMNA YA KUWAANGALIA WATOTO WA WAKULIMA AMBAO HAWANA UWEZO WA KUNUNUA MITIHANI AMA HAWANA UWEZO WA KUA NA KONEKSHEN ZA WATU WAKUBWA KUWAWEKA KATIKA AJIRA MBALIMBALI NCHINI HASWA ZA SERIKALI. KWELI UTUMISHI UNAWEKA DOCUMENTS ZOTE ZIKO CERTIFIED MAJIBU YA INTERVIEW YANATOKA SABABU YA ROHO MBAYA AMA NI KUTENGENEZA MAZINGIRA YA WATU KUAJIRIWA WENYE PESA AMA WATOTO WA WAKUBWA UNAAMBIWA KUA CHETI CHAKO HUJA CERTIFIED ...HII NI DHULMA YA WAZI KABISA NA UONEVU MKUBWA KW WATOTO WA KIMASKINI.
Mmh! Wapigie mkuu au wa email kama kweli ume certified utakuwa kwenye majina ya nyongeza
 
SERIKALI YA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ITAFUTE NAMNA YA KUWAANGALIA WATOTO WA WAKULIMA AMBAO HAWANA UWEZO WA KUNUNUA MITIHANI AMA HAWANA UWEZO WA KUA NA KONEKSHEN ZA WATU WAKUBWA KUWAWEKA KATIKA AJIRA MBALIMBALI NCHINI HASWA ZA SERIKALI. KWELI UTUMISHI UNAWEKA DOCUMENTS ZOTE ZIKO CERTIFIED MAJIBU YA INTERVIEW YANATOKA SABABU YA ROHO MBAYA AMA NI KUTENGENEZA MAZINGIRA YA WATU KUAJIRIWA WENYE PESA AMA WATOTO WA WAKUBWA UNAAMBIWA KUA CHETI CHAKO HUJA CERTIFIED ...HII NI DHULMA YA WAZI KABISA NA UONEVU MKUBWA KW WATOTO WA KIMASKINI.
Sidhani kama ni sahihi, kama una changamoto yoyote jaribu kuwasiliana moja kwa moja na Utumishi bila shaka watatutua tatizo lako.

Hata mimi ni mtoto wa mkulima kama wewe lakini mara kwa mara huwa naitwa kwenye usaili baada ya kukidhi vigezo na masharti yanayoelekezwa kwenye tangazo husika.

Pole sana na usikate tamaa mapema.
 
Back
Top Bottom