3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,583
- 16,296
Pole sana mkuuaisee toka jana niko hoi naumwa sjui hata wameniroga wanga.nimeshindwa kusafiri
Pole sana mkuuaisee toka jana niko hoi naumwa sjui hata wameniroga wanga.nimeshindwa kusafiri
ahsante sana kakaPole sana mkuu
ahh watu wanne tu.umeshapita aisee sasa practical ya telecom ndo inakuajeAaaah Engineer tulikua watu wa4 tuu,wametuletea mambo ya telecom leo😂😂
Achaa kabisaaa mambo ya LAN (LOcal Area Network)ahh watu wanne tu.umeshapita aisee sasa practical ya telecom ndo inakuaje
🤣 🤣 ningepoteza nauli yanguAchaa kabisaaa mambo ya LAN (LOcal Area Network)
ulikua unayajua sasaAchaa kabisaaa mambo ya LAN (LOcal Area Network)
Bora hukujaa mmh🤣 🤣 ningepoteza nauli yangu
😂😂😂🤣🙌utumishi leo nimeshindwa kuja wachawi wameniroga ila msije mkajichanganya tena mtalia kilio cha mbwa mdomo juu.naskia leo mumemuonea dada angu rahsully na LAN yenu sasa olewenu...
Zaidi ya mwaka duuKimbukiko hao mechanical engineers wote ni database ya 2023 aisee
miaka miwili hiyo mtu unakuja kukutana na supriseZaidi ya mwaka duu
Mbona sijaona hilo Tangazo wailochukua database ya 2023miaka miwili hiyo mtu unakuja kukutana na suprise
wamo na wa 2023 mie kuna mtu nilisoma nae wa umeme alifanya 2023 ndio wamemwita janaMbona sijaona hilo Tangazo wailochukua database ya 2023
Nimeona pdf zote 2024
Nmekumbuka mkando wa ATC December wa kwanza 59🤣Hivi hiyo mikando ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mnaiona?
Yaan hawa jamaa sijui pepar zao zipoje kukuta mtu ana 70 ni Kama bahati mikando yao inacheza 59 kurudi hadi 0.
Yaan hawa jamaa sijui aisee walishatoaga wa kwanza 35😂😂Nmekumbuka mkando wa ATC December wa kwanza 59🤣
Duh😂😂😂 readvertised loadinYaan hawa jamaa sijui aisee walishatoaga wa kwanza 35😂😂