Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,649
- 3,917
Jambo jema. Mungu atusaidie tuje na shuhuda.Wakuu, tuendelee kupambana, mishahara imeongezwa huko, tuhakikishe mpaka July nasi tuwepo huko
Jambo jema. Mungu atusaidie tuje na shuhuda.Wakuu, tuendelee kupambana, mishahara imeongezwa huko, tuhakikishe mpaka July nasi tuwepo huko
Unapoenda kwenye oral interview andaa kitambulisho na vyeti vyako vyote vinavyohitajika, vaa vizuri pendeza, na Cha muhimu zaidi Fanya sana maombi Kwa Mwenyezi Mungu, Kila la kheri mkuu.Kwa wanaofahamu/waliowahi kuhudhuria oral TRA wanauliza maswali gani na pia namba ya usaili ni ile ile au wangoje nyingine kwa email?
Mkuu, beba documents Zako zote, Hata kama una cheti cha kifo chako kibebe.Walioenda Oral kwa post ambazo sio za academician (kufundisha), Transcript ni lazima uende nayo?.
Angalia attachment hapo for your reference.
Umeeleweka vyema mkuu.Mkuu, beba documents Zako zote, Hata kama una cheti cha kifo kibebe.
Utumishi wanakutoa kwenye reli kwa sababu yoyote ile hvy jitahidi kuwapunguzia access ya kukutoa kwenye reli.
Pole jipange kwa sahili zijazo mkuu.Tulofanya tarehe 25 wameanza pandisha matokeo kwenye account zetu.
"Not Selected for Oral Interview" imesomeka tena kwangu.
Kila la kheri wapambanaji. Mimi ni rasmi sasa nijikite kwenye hiki ninachokifanya sasa.
Umeitwa kazini? Wanadai ukiliona nina kwenye pdf tuIvi inachukua muda gani utumishi kuapload barua ya kuitwa kazini kwenye account ya Ajira portal?
NdioUmeitwa kazini? Wanadai ukiliona nina kwenye pdf tu
Basi kubwa mvumilivu utaiona baruaNdio
Pamoja kakaBasi kubwa mvumilivu utaiona barua
Sawa mkuu tunasbr inspirational yakoPamoja kaka
Soon nitakuja na ushuhuda apa wa mchakato kuanzia kwenye saili Mpaka kuitwa kazini
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwemaHabari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Nenda salama mkuu, UZI huu utakumis sana, soon nasi tutakuwa wote huko.Habari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Toka zambia mpaka kulamba asali hongera sana mkuu......Habari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema
Toka zambia mpaka kulamba asali hongera sana mkuu......
Asanteni sana wakuu. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Nitaendelea kupita pita humu kama MwifwaNenda salama mkuu, UZI huu utakumis sana, soon nasi tutakuwa wote huko.