Umesubilia kwa muda ganHatimaye Jioni hii, Utumishi wamenitumia barua ya kuripoti kazini, Ashukuriwe Mwenyezi Mungu Muumba Kwa Kila Hali. Ndugu Jamaa na marafiki tusikate tamaa kwenye utafutaji wa ajira Kila mmoja wetu ana wakati wake wa kupata tuendelee kusubiri na tuwe wastahimilivu 🙏🙏🙏