HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bila kusahau kuna pdf huko la kuitwa kwenye usaili kwa ajili ya nafasi za Chuo Cha Sukari, MDA's & LGA's
 
Sidhani kama ni sahihi, kama una changamoto yoyote jaribu kuwasiliana moja kwa moja na Utumishi bila shaka watatutua tatizo lako.

Hata mimi ni mtoto wa mkulima kama wewe lakini mara kwa mara huwa naitwa kwenye usaili baada ya kukidhi vigezo na masharti yanayoelekezwa kwenye tangazo husika.

Pole sana na usikate tamaa mapema.
Nikajua Usha lamba asali tayari
 
Kwa ambaye ajaitwa kwenye interview kwa sababu yoyote ile tangazo hili lina muhusu
 

Attachments

  • 20250512_180142.jpg
    20250512_180142.jpg
    158.8 KB · Views: 32
Back
Top Bottom