Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,745
- 2,871
Labda kuna kibali kipya kimejitokeza kinahitaji watu, you never knowdah yaani oral watu zaidi ya 300 halafu wanatakiwa 2
Labda kuna kibali kipya kimejitokeza kinahitaji watu, you never knowdah yaani oral watu zaidi ya 300 halafu wanatakiwa 2
Duuh, hiyo balaa sasadah yaani oral watu zaidi ya 300 halafu wanatakiwa 2
Hapa nahisi watachukua wengi tuu,wengnine watapelekwa taasisi zingine ukodah yaani oral watu zaidi ya 300 halafu wanatakiwa 2
Yes,lolote linawezekanaLabda kuna kibali kipya kimejitokeza kinahitaji watu, you never know
Duuh, hiyo balaa sasa
ngoja tuskilizie labda kuna jamboLabda kuna kibali kipya kimejitokeza kinahitaji watu, you never know
itakua hivo. alafu TPDC kuna practical naona wameandika inafanyika online sjui imekaaje iyoHapa nahisi watachukua wengi tuu,wengnine watapelekwa taasisi zingine uko
Practical oyeeee😂😂🙌itakua hivo. alafu TPDC kuna practical naona wameandika inafanyika online sjui imekaaje iyo
Ni online mkuu sio kwenye makaratasi tena,tujiandae na hilombona kama wanasema interview ya written itakuwa online au hii ni geresha tu kwamba tutaitaji kusafiri mpaka dodoma ??
Online na itafanyika mkoani kwako....mbona kama wanasema interview ya written itakuwa online au hii ni geresha tu kwamba tutaitaji kusafiri mpaka dodoma ??
aisee hizi practical wazifute tu 🤣 🤣Practical oyeeee😂😂🙌
Wakifanya hivi itakiwa poa sana ,, mambo yakuchoma nauli mpaka dodoma siyo poa aisee...Online na itafanyika mkoani kwako....
😂😂😂aisee hizi practical wazifute tu 🤣 🤣
Lakini si walipunguza huo usumbufu baada ya usaili usaili hufanyika kwa kanda.Wakifanya hivi itakiwa poa sana ,, mambo yakuchoma nauli mpaka dodoma siyo poa aisee...
Bado kipengele hebu fikilia mtu upo njombe ,, uitafute mbeya + lodge + msosi siyo poa mkuu afu unafika paper inakuona aisee chozi lazima litoke ,, lakn kama utafanyia mkoani kwako kama ambavyo wao walituaminisha kwa kupitia mfumo wao wa online basi inapunguza gharama sana yani ata ikitokea umepaisha moyo wa kujaribu tena unakuwepo ..Lakini si walipunguza huo usumbufu baada ya usaili usaili hufanyika kwa kanda.
pdf la maanaKuna pdf huko mkaangalie page 10