Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,605
- 59,744
Sio mimiSawa mkuu sonona itakuua
Sio mimiSawa mkuu sonona itakuua
Hapana Kuna sehemu unaweka cheti Kisha transcript inafuata kwenye sehemu yakeWakuu naomba kuuliza,
Chet cha degree unaweka na transcript kweny pdf moja???
TAA wameitwa nafasi zipi mkuu? Maana kuna tulio apply Mwezi wa 8 ila bado hatujaitwa.Sema MDAs &LGAs zilizobaki hawa jamaa ni wahuni tu mpaka sasa hakuna jambo wameitwa waliofata wote wameitwa TAA NA BOT
Kwangu haileti option ya transcript mbona??Hapana Kuna sehemu unaweka cheti Kisha transcript inafuata kwenye sehemu yake
Usisahua kuvihakiki kwa mwanasheria
Ohooo kitambo mkuu ingia kweny akaunt yakoTAA wameitwa nafasi zipi mkuu? Maana kuna tulio apply Mwezi wa 8 ila bado hatujaitwa.
Mkuuu mimi sijaona pale unaweka wapi io transcriptHapana Kuna sehemu unaweka cheti Kisha transcript inafuata kwenye sehemu yake
Usisahua kuvihakiki kwa mwanasheria
Haileti au hujaona mahali pa kuweka transcript?Kwangu haileti option ya transcript mbona??
Sijaona hata mm mkuuHaileti au hujaona mahali pa kuweka transcript?
Hakuna kabisa iyo sehemuHaileti au hujaona mahali pa kuweka transcript?
Ipo bahna baada ya saved academy qualifications chini yake kuna saved academy transcriptHakuna kabisa iyo sehemu
TAA zile za portal Yao sio ya ajira PortalTAA wameitwa nafasi zipi mkuu? Maana kuna tulio apply Mwezi wa 8 ila bado hatujaitwa.
Sio kwelinaona watu wanaoenda kufanya usahili BOT ni wengi kuliko walimu🤣🤣
mbona mimi hiyo sehemu ya kuwe transcript haipo ?? Au huu ni mfumo mwingine ??
Mkuu screen shot apo kwenye academy qualifications alafu tuma apa ili tuone kwako ikojeMkuu
mbona mimi hiyo sehemu ya kuwe transcript haipo ?? Au huu ni mfumo mwingine ??
Hata mimi sioni sehemu ya transcriptMkuu
mbona mimi hiyo sehemu ya kuwe transcript haipo ?? Au huu ni mfumo mwingine ??
Sasa hii ni tra?🤔
Kwani nyie mnaongelea Ajira portal au TRA portal?Hata mimi sioni sehemu ya transcript
Hawa UTUMISHI MKUU sio TRA
Hizi si za utumishi banaa 😂😂,nlishtuka ata jina langu sikulionarahsully kapige interview