Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 827
- 2,229
Huwezi kufanya huo mchakato bila KIBALI kutoka Kwa katibu mkuu utumishiUkiona hivyo ndo kichaka Taasisi zote zitapitia wamerusha ndoano
Huwezi kufanya huo mchakato bila KIBALI kutoka Kwa katibu mkuu utumishiUkiona hivyo ndo kichaka Taasisi zote zitapitia wamerusha ndoano
nafikiriNikumbusheni.Sifa tano za mtumishi wa umma
Ingia kwenye web site ya sekretarit kwenye update pale wanapo weka matangazo. Utaliona hilo tangazo lakini kwenye mfumo wa maombi ndan hazipo hizo nafasi. Na anauni sio ya katibu wa utumishi ni ya kwao mkuu ina maana unapeleka kwa mkono au njia ya postaHuwezi kufanya huo mchakato bila KIBALI kutoka Kwa katibu mkuu utumishi
Alatatafute code of conduct za jamhuri wa Mungano wa Tanzania zipo kama 12 hivinafikiri
1.Communication skills
2.Knowledgeable
3.Adaptable/flexible
4.Passionate
5.Accountable
6.Disciplined and well mannered
7.Transparency
Wengine hapa tuna majina mawili F4 na F6, ila chuo yapo majina matatu na tumefanya zaidi ya interview tano psrs hadi tumepita haijawahi leta shida.Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Nimeona ila sijajua hili utaratibu wa kutuma ukoje Kuna zile nafasi za BOT address ilikuwa pia sio ya katibu mkuu lakini maombi ulikuwa unatumika kupitia ajira portal hukohukoIngia kwenye web site ya sekretarit kwenye update pale wanapo weka matangazo. Utaliona hilo tangazo lakini kwenye mfumo wa maombi ndan hazipo hizo nafasi. Na anauni sio ya katibu wa utumishi ni ya kwao mkuu ina maana unapeleka kwa mkono au njia ya posta
Umeona lkn hii ipo tofauti wameona watacheleweshwa sanaNimeona ila sijajua hili utaratibu wa kutuma ukoje Kuna zile nafasi za BOT address ilikuwa pia sio ya katibu mkuu lakini maombi ulikuwa unatumika kupitia ajira portal hukohuko
bora kama wameligundua hiloUmeona lkn hii ipo tofauti wameona watacheleweshwa sana
Ndiyo mlifanya na watu wa veta pamoja
Hivi huyu bro Makofia aliendaga wapi, ni moja ya watu waliokuwa wanatupa za ndani sana na kututia moyo katika mapambanoBado mkeka mwengine ambao wajiriwa wapya watafuata barua Dom
😂😂😂😂😂🙌🙌wapunguze munkari banaa,wote tunataka buyu la Asali hapaRahsully kua makini watu wako moto majina hayaonekani kwa pdf utachezea makofi online😛😛
Jamaa ina onekana mzigo wa mchakato wa ajira umesha kuwa kipengele kwao kwa hii hali inavyo kwenda hivi sasa mkuu.🤔Mkuu ishu ya walimu haitakuwa rahusi nimemsikia waziri mwenye dhamana akisema wezalisha idadi ya waalimu mamia kwa ma elfu kuliko mahitaji. Ina maana hao waalimu waishe sisi wa august inaweza kata mwaka mkuu.
Bado zile nafasi nyingne za watu wawili. Post ya mtu mmoja na nyingine ni nying kwa kifupi sekretariat wamezidiwa mzigo ni mkubwa
Hii ya waalimu watakao faulu written wachukue cutting point mpaka 70 moja kwa moja wapewe vituo ni wazo langu tu. Kuliko kuendeleza mpaka oral
UPDATE: Nilifanikiwa kuripoti kazini na kupokelewa kazini.Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.
Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?
Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.
Mungu ni mwema mkuuUPDATE: Nilifanikiwa kuripoti kazini na kupokelewa kazini.
Umepata NIT??Dah nashukuru Mungu nimelamba asali.
YeahUmepata NIT??
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaUPDATE: Nilifanikiwa kuripoti kazini na kupokelewa kazini.
Umepata kada ipiYeah