HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Walimu wapo kimya hatuoni vituko kama vilivyotokea kwenye afya, inamaana walimu wapo smart sana au??
 
sidhani kama ni lazima Mimi vyeti vyangu vya shule jina la kati ni initial na nimepiga interview 4 hamna ata Moja nilodaiwa hati ya kiapo muhimu spelling ziwe vile vile kwenye cha kuzaliwa na NIDA

Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
 
Yes hapo Pana shida mkuu, inabidi ukape mahakamani, watakupa affidavit mkuu
 
473448593_602851842386420_3020101284925715672_n.jpg
ticha kashanyolewa 😀 😀 😛
 
Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Hiyo ya majina mawili nilisikia inaleta shida tafuta tu Affidavit mkuu.
 
Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Kisheria hawa ni watu wawili tofauti.

Tafuta affidavit
 
Naona CBE wameamua kuajili wenyewe sasa tangazo limetolewa lkn kwenye mfumo wa ajira portal halijawekwa .
 
Hivi kama umepangiwa written Interview na haujaenda kufanya kwa sababu zozote zile. Utakuwa blacklisted na mfumo?
 
Back
Top Bottom