Dah nashukuru Mungu nimelamba asali.Chuo cha NIT wamegoma kabisa kutoa Pdf.
Hujachomoka na pdf zote zile kaka🥲mwezi wa saba sio leo
Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwemaDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Mungu atakutendea tu mkuu 🙏Hatimae PDF mbili za Leo nimebahatika kuwaona niliokuwa nao oral eeeh!!! Mungu tenda miujiza next PDF jina langu lisomeke 🙏🙏
Acha kuchanganya watu na jua kali hili. Tulieni kila mmoja ataitwa kwa wakati wakeHujachomoka na pdf zote zile kaka🥲
Hongera sana mkuuDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Tukizimiss sana shuhuda za hivi.Napita hapa kutoa shukrani kwa wote wanaoendelea na waliochochea kutupa watu moyo tuendelee kuongeza received humu. Nami Mwenyezi Mungu ameamua wakati wangu umefika. Nashukuru Mungu nimeitwa Dodoma kuchukua barua. Nilianza mchakato wa kupambania ajira tangu mwaka 2021, bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuhudhuria zote nlizoomba. Kuna kipindi nilikata tamaa maana mikando ilikuwa ya kutosha na ndio nikajiunga jf kuangalia wadau wanasemaje kuhusu swala la ajira. Hatimae nikakutana na huu uzi na comment za wadau kuhusu kuendelea kupambana.
Mwaka jana nimefanya interview moja nikafika nayo oral na japokuwa nilikosa post niliyoomba jana mkeka umetoka nikiwa nimepangiwa ofisi nyingine.
Nashukuru sana Mungu na watu wote ambao japo wamepata kazi bado wanarudi humu kuwapa wapambanaji wengine moyo.
ahsanteni
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifuDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Pole kama umechanganyikiwa 😂😂😂🙌@El marabiosh alitakiwa anijibu yeye Mr.Engineer😅😅Acha kuchanganya watu na jua kali hili. Tulieni kila mmoja ataitwa kwa wakati wake
Safisha Database hiyo ukiona hivyo kuna Taasisi inakuja itasomba watu ...Kumbe utumishi sio wa kuwatia tamaa yaan wanaitwa watu kutoka mwez wa 6 2023!?
Hongera sana Kiongozi....Ukawe mtumishi mwemaDah nashukuru Mungu nimelamba asali.
Naomba kuuliza mkuu,hivi majina kwenye vyeti yakiwa na initial katikati alaf kwenye nida yapo yote matatu,kwa mfano kwenye vyeti ni John A Juma na kwenye nida ni John Alex Juma hapo kuna ulazima wa kuwa na hati ya kiapo?Hongera sana Kiongozi....Ukawe mtumishi mwema
sidhani kama ni lazima Mimi vyeti vyangu vya shule jina la kati ni initial na nimepiga interview 4 hamna ata Moja nilodaiwa hati ya kiapo muhimu spelling ziwe vile vile kwenye cha kuzaliwa na NIDANaomba kuuliza mkuu,hivi majina kwenye vyeti yakiwa na initial katikati alaf kwenye nida yapo yote matatu,kwa mfano kwenye vyeti ni John A Juma na kwenye nida ni John Alex Juma hapo kuna ulazima wa kuwa na hati ya kiapo?