Flowerpot
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 220
- 318
😂😂😂 hatari.jinsi hilo pdf lilivyoshiba mpaka pc imejizima wakati nadownload
😂😂😂 hatari.jinsi hilo pdf lilivyoshiba mpaka pc imejizima wakati nadownload
sasa na kenye placement si wafanye hivi jamani mbona kwenye interview inawezekana.yaani mtu unaangalia majina mpaka unachoka aisee😂😂😂 hatari.
Kada ya kilimo wameita?Safi wengine tuliobaki tuendelee kujinoa
Sijui mkuu kaangalie pdf mkuu sijazingatia hiloKada ya kilimo wameita?
Kada ya kilimo wameita
Sasa nani anataka kulipwa laki tatu mkuu maisha haya na bado upelekwe Mpimbwe ukaendeshwe na diwani wa la saba.. Rekebisheni scale za halmashauri uone watu wanavyojitupiaPdf zipo za Halmashauri tukitoa hamtaki kwenda huko mnachagua kazi vijana, mnataka nani aende Mpimbwe Dc?
Wameita bahadhi ya Kada Mkuu kwani wewe ni Kada ganiHaya majina ya Mda/Lga ni ya wale walio apply mwezi wa nane mwaka huu? Mbona mm sijaliona jina langu na status bado imeandika Received
Afisa Ushirika kakaWameita bahadhi ya Kada Mkuu kwani wewe ni Kada gani
Subiri basi za taasisi upambane na watoto wa vigogo.Sasa nani anataka kulipwa laki tatu mkuu maisha haya na bado upelekwe Mpimbwe ukaendeshwe na diwani wa la saba.. Rekebisheni scale za halmashauri uone watu wanavyojitupia
Iyo Kada bado mjafikiwa labda tusubirie majini ya nyongeza KakaAfisa Ushirika kaka
😂😂 majini ya nyongeza au vipiIyo Kada bado mjafikiwa labda tusubirie majini ya nyongeza Kaka
Ah ah icho kitu cha wakaida sana Mkuu labda kama huwa utembelei kule Ajira portal News😂😂 majini ya nyongeza au vipi
Hahaha jamani utumishi wawe wanatoa pdf mapema waru waimie na kufurahi mapemaaa hahahahaNdio nimesema nichunguliie Mchana huu naona giza.. ili nijuuue hii nauli niliyo iandaa kufatia barua niile au niendee utumishi
Mkuu umeamua kusoma kuanzia mwanzo.😀Hahaha jamani utumishi wawe wanatoa pdf mapema waru waimie na kufurahi mapemaaa hahahaha
Hello humu ndani mpobila afya kimulimuli cha tanapa kingekua kinawaka