HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
wazee wenu hao 🤣 🤣 🤣
 
Attachments

  • 470244410_582764777728460_6543351353342196699_n.jpg
    470244410_582764777728460_6543351353342196699_n.jpg
    45.1 KB · Views: 31
Ndiyo maana kazi huko utumishii haziendi,,,, kweli wazee hawa watafanyaje kazi kwa speed inayotakiwa ???

Hawa wazee ilipaswa wawe nyumbani wanacgeza na wajukuu lakin kwasababu ya ubinafsi na roho mbaya ,, vizee bado vimeng'ang'ania ofisini..

We fikiri post ya admission officer toka itolewe mwezi wa 8 hadi leo mwezi wa 12 bado hawajaita watu kufanya interview
 
Mkuuu punguza makasiriko mkuu utaitwa na utakandwa
 
Wazee wa Automobile ndo mwaka umeisha na zaidi bila hata mmoja kuita uongozi wa juu utumishi wanahojiwa hawana cha kujitetea zugazuga!
 
wazee wanacheka Pdf zilizopo ni za Halmashauri za Buhigwe, Mlele, Kasulu, Newala, Namtumbo, Busokelo na vijana wana ndoto za kwenda NSSF, TRA NHIF, TBS, HAZINA, MUHIMBILI, NIMR Mambo ni zigzaga........
Hao NSSF sio ndoto zetu kwa maana wanavyo ajiri wanajua wenyewe huko na familia zao, sijawahi kuona wametoa ajira Utumishi wale jamaa kule ni mwendo wa vilemba tu.
 
Kuna pdf la Nanyumbu vipi waliachie?
Waliachie tu hatuna namna sisi jobless, maana hizo Taasisi hatu wawezi, hapa tz kuna Taasisi kama hao NSSF unaweza ishi mpaka ukafa na usijue kazi walitangaza lini na wapi ila watumishi wapya wapo kule..🤔 hapo ndio utakapo shangaa naku shangazwa sasa..😃
 
Back
Top Bottom