El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,046
- 6,402
Tusameheni babu zetu kumbe mlikua mnaandaa pdf fanyeni hivyo bas na kesho
Mkuu walidanganya umri hao saiv wana 47 wote🤣🤣😂Acha kutetea ujinga na kama wewe ni muongoni mwa hao wazee hapo juu kwenye picha ,, hebu jaribu kuwakumbusha wazee wenzio juu ya swala la kustaafu kwa kweli mnatia aibuu kuendelea kung'ang'ania hapo ofisini mwishoni mfie humo
WAKUU NIJIBUNI HII KITU.Wazee,hivi inaruhusiwa watu wenye mahusiano ya karibu kama ndugu,wapenzi n.k. kufanyishana interview?
Mfano mtu kumfanyisha mpenzi wako interview ukiwa panelist?
Ni sawa Hilo?
Kuna matukio yametokea wiki hii nataka kupata uelewa.
Hairuhusiwii lkn inaweza kutokeaWAKUU NIJIBUNI HII KITU.
KUNA JAMBO SENSITIVE LIMETOKEA,TUCHUKUE HATUA MAPEMA.
Hazina tofauti sana japo kimatumizi zinatofautia.Hivi utofauti wa minimum and at least kwenye gpa nini
Leta mkasa mkuu sio swali. Japo ki utaratibu ni hairusiwiWAKUU NIJIBUNI HII KITU.
KUNA JAMBO SENSITIVE LIMETOKEA,TUCHUKUE HATUA MAPEMA.
Basi sawa.Leta mkasa mkuu sio swali. Japo ki utaratibu ni hairusiwi
haiwezekani hiyoBasi sawa.
Kuna mtu wiki hii amemfanyia panel interview mpenzi wake.
Ninasema kitu chenye uhakika.haiwezekani hiyo