Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Taasisi kuajiri wenyewe ni Failure.
Mfano TRA wameng’ang’ania kuajiri wenyewe ila kusahisha tu mitihani phase one imewachukua mwezi mzima wakati sekretarieti saizi watu wangekua wanasubiri placement.

TRA hivi mnavyochelewesha ndo mnatengeneza mianya ya rushwa na kuchomekana. Mnasubiri nini hadi leo hamjatoa majibu? Ili watu waende oral. Hamkujipanga. It’s either mnasahisha sana, mnapanga safu zenu au PSRS walikua hawasahishi. Lipi ni jibu ila utaratibu huu watoto wa wakulima jua litawaka aisee maana 🙌🏼
Ningepata Nafasi Kuongea na Mheshimiwa Raisi ningemwambia, Baada ya mchakato kuisha na watu kupangiwa ajira , Watu wa ulinzi na usalama waichukue ile Mitihani wakaiangalie Tena ...Ikionekana kama kuna watu wamepata nafasi kwa kuchomekwa Wasiwatoe...ila wale wote waliohusika na Mchakato wa kuwapitisha wawaachishe kazi.... Nafikiri kuna kikundi kitapata Akili 😄

Kukaa muda mrefu kunafikirisha...Ni either wanasahihisha kwa umakini sana ,ili kila mtu apate haki yake.
 
Kukaa muda mrefu ni kuruhusu mianya ya rushwa hakuna cha zaidi! Week nne mnasahisha nini?? Au anasahisha kidata peke yake. Mi nakwambia wanachomeka watu wao
Huko
 
Taasisi kuajiri wenyewe ni Failure.
Mfano TRA wameng’ang’ania kuajiri wenyewe ila kusahisha tu mitihani phase one imewachukua mwezi mzima wakati sekretarieti saizi watu wangekua wanasubiri placement.

TRA hivi mnavyochelewesha ndo mnatengeneza mianya ya rushwa na kuchomekana. Mnasubiri nini hadi leo hamjatoa majibu? Ili watu waende oral. Hamkujipanga. It’s either mnasahisha sana, mnapanga safu zenu au PSRS walikua hawasahishi. Lipi ni jibu ila utaratibu huu watoto wa wakulima jua litawaka aisee maana
Watu walio ttend usahili ni 31,500 ulitaka watoe majibu haraka mseme hawajasahihisha Mkuu we subiria tuu lolilopangwa kwako litatimia tuu.

TRA wametangaza tangazo ndani ya 3 months interview tayari. Huko kwingine mpaka written ni miezi si chini ya 10 hadi 11, na then placement ndo mpaka tupo kwenye huu uzi.
 
Sawa ndo mwezi mzima?
 
Back
Top Bottom