HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tangazo la ajira Mara nyingi utumia siku 7 hadi 14.

Kuitwa kwa interview Mara nyingi inakuwa miezi miwili hadi minne..

Zoezi la kuitwa kazini first round Mara nyingi ikiwahi miezi miwili ikichelewa miezi Minnesota hadi sita.

PSRS inabidi wajitafakari mchakato wa ajira tu unatumia miezi sita hadi kuita watu kazini.

DATABASE unasema Inakaa mwaka wakati database inatoka Mara tu baada ya watu kuanza kuitwa kazini
 
Back
Top Bottom