Kabisa angalau unakuwa nakaubize Fulani hiviYap Muhimu sana hili Mkuu. Ukiwa na Received huku unasubiria Database au placement unakua kidogo ume relax.
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Kabisa angalau unakuwa nakaubize Fulani hiviYap Muhimu sana hili Mkuu. Ukiwa na Received huku unasubiria Database au placement unakua kidogo ume relax.
Ningepata Nafasi Kuongea na Mheshimiwa Raisi ningemwambia, Baada ya mchakato kuisha na watu kupangiwa ajira , Watu wa ulinzi na usalama waichukue ile Mitihani wakaiangalie Tena ...Ikionekana kama kuna watu wamepata nafasi kwa kuchomekwa Wasiwatoe...ila wale wote waliohusika na Mchakato wa kuwapitisha wawaachishe kazi.... Nafikiri kuna kikundi kitapata Akili 😄Taasisi kuajiri wenyewe ni Failure.
Mfano TRA wameng’ang’ania kuajiri wenyewe ila kusahisha tu mitihani phase one imewachukua mwezi mzima wakati sekretarieti saizi watu wangekua wanasubiri placement.
TRA hivi mnavyochelewesha ndo mnatengeneza mianya ya rushwa na kuchomekana. Mnasubiri nini hadi leo hamjatoa majibu? Ili watu waende oral. Hamkujipanga. It’s either mnasahisha sana, mnapanga safu zenu au PSRS walikua hawasahishi. Lipi ni jibu ila utaratibu huu watoto wa wakulima jua litawaka aisee maana 🙌🏼
Kukaa muda mrefu ni kuruhusu mianya ya rushwa hakuna cha zaidi! Week nne mnasahisha nini?? Au anasahisha kidata peke yake. Mi nakwambia wanachomeka watu waoNingepata Nafasi Kuongea na Mheshimiwa Raisi ningemwambia, Baada ya mchakato kuisha na watu kupangiwa ajira , Watu wa ulinzi na usalama waichukue ile Mitihani wakaiangalie Tena ...Ikionekana kama kuna watu wamepata nafasi kwa kuchomekwa Wasiwatoe...ila wale wote waliohusika na Mchakato wa kuwapitisha wawaachishe kazi.... Nafikiri kuna kikundi kitapata Akili 😄
Kukaa muda mrefu kunafikirisha...Ni either wanasahihisha kwa umakini sana ,ili kila mtu apate haki yake.
Watu walio ttend usahili ni 31,500 ulitaka watoe majibu haraka mseme hawajasahihisha Mkuu we subiria tuu lolilopangwa kwako litatimia tuu.Taasisi kuajiri wenyewe ni Failure.
Mfano TRA wameng’ang’ania kuajiri wenyewe ila kusahisha tu mitihani phase one imewachukua mwezi mzima wakati sekretarieti saizi watu wangekua wanasubiri placement.
TRA hivi mnavyochelewesha ndo mnatengeneza mianya ya rushwa na kuchomekana. Mnasubiri nini hadi leo hamjatoa majibu? Ili watu waende oral. Hamkujipanga. It’s either mnasahisha sana, mnapanga safu zenu au PSRS walikua hawasahishi. Lipi ni jibu ila utaratibu huu watoto wa wakulima jua litawaka aisee maana
Sawa ndo mwezi mzima?Watu walio ttend usahili ni 31,500 ulitaka watoe majibu haraka mseme hawajasahihisha Mkuu we subiria tuu lolilopangwa kwako litatimia tuu.
TRA wametangaza tangazo ndani ya 3 months interview tayari. Huko kwingine mpaka written ni miezi si chini ya 10 hadi 11, na then placement ndo mpaka tupo kwenye huu uzi.
Kwangu bado 0_0
mkuu mm nimepiga agro economics, mfwende sawadogo tunataka maelekezo hapa , tunataka tuingie SUA aisee
baadhi ya wadau walidai chuoni kuna maokoto ya consultancies na viposho posho kadhaa.Ina maana humu hakuna watumishi wa vyuoni? Nimeuliza swali langu muda mrefu sijapata jibu. Je chuoni kuna maokoto nje ya salary?