Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
makofia360 njoo tupe abc nini kinaendlea huko mkuu kwa kimya hikii
Class mate wangu ambaye aliondoka na foo ya mwishonj kabisa Olevl, aliingia huko kama Afisa Habari ingali sisi(mimi) bado tupo tunasugua Cozi Work Chuo, kashatoboa kitambo.Yapo Ila inategemeana na kitenge Sasa,mfn Kuna jamaa kaajiriwa km mwandishi wa habari wizaran,yeye kila msafara wa waziri au katibu mkuu na yeye anaenda,so yeye hizi perdieem Kama zote
Makofia naye yupo kimya sana , sijui kapotelea wapi ,sikuhizi hatupi za ndaniAisee jamaa wamesinziaa haha tuombe mungu waamke
Hajawahi kaa benchi huyu lile la miez 6 8 ksbria saili tu
😂😂😂mara paaaap mkeka( pdf) inatoka alafu bado jina haulioni pamoja na kusubiri kote huku. Duh ujobless sio mchezo.
Huko lugha tofauti zitaongeleka kwa jobless .....ni swala la mda tu mkeka utokemara paaaap mkeka( pdf) inatoka alafu bado jina haulioni pamoja na kusubiri kote huku. Duh ujobless sio mchezo.
Ujobless ni noma mkuu ,kama huna roho ngumu , unaweza hisi umerogwa aisee .mara paaaap mkeka( pdf) inatoka alafu bado jina haulioni pamoja na kusubiri kote huku. Duh ujobless sio mchezo.
unaweza jitundika... 🤣 🤣mara paaaap mkeka( pdf) inatoka alafu bado jina haulioni pamoja na kusubiri kote huku. Duh ujobless sio mchezo.
unatakiwa uwe na pumzi..Ujobless ni noma mkuu ,kama huna roho ngumu , unaweza hisi umerogwa aisee .
😄😄😄😄
+ staminaunatakiwa uwe na pumzi..
yaani kama unapresha ajira za utumishi zinaweza kukupeleka kaburini. Alafu wenyewe uko wala hawana time wanacheza zao karata kwenye pc🤣 🤣+ stamina
Na wataua vijana hawa jamaa😅😅yaani kama unapresha ajira za utumishi zinaweza kukupeleka kaburini. Alafu wenyewe uko wala hawana time wanacheza zao karata kwenye pc🤣 🤣
kaka vp huko tenaNawaibia siri wale wa tra stay tuned andaeni nauli kabisa
😅😅 wale wana hawanaga time aisee wanaenjoe tu maperdiemyaani kama unapresha ajira za utumishi zinaweza kukupeleka kaburini. Alafu wenyewe uko wala hawana time wanacheza zao karata kwenye pc🤣 🤣
Hatari na nusu!!mara paaaap mkeka( pdf) inatoka alafu bado jina haulioni pamoja na kusubiri kote huku. Duh ujobless sio mchezo.
Mwamba anaibukaga na kupotea.makofia360 njoo tupe abc nini kinaendlea huko mkuu
Tena zaidi ya sana mwambaila mzigo ukishuka utakuwa mzito sana, ninafikiri.