HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bado siku 8 TRA nao wafunge miez mitatu since dead line, no call for interview. Some wanasema wameshaita, some bado,
in short kila mtu ana lake. Bora taasisi ziajiri zenyewe
 
Huu upuuzi hatutaki kuusikia sisi PSPR tuna Imani na ninyi changamoto ndogo ndogo fanyieni kazi haya mambo ya taasisi kuajiri wenyewe hapana

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Bado siku 8 TRA nao wafunge miez mitatu since dead line, no call for interview. Some wanasema wameshaita, some bado,
in short kila mtu ana lake. Bora taasisi ziajiri zenyewe
KWAHIYO HIZO NDO UPDATE ULIZOKUJA NAZO KUENDELEZA ULIPOISHIA ?
Sa si Bora ungeendelea kupotea tu, ni nani huyo aliyekuokota na kukuleta hapa ?
 
[emoji16] mkuu hujanielewa. Nilichokisema mwisho nimemaanisha vice versa.
Mi mdau wa psrs labda kama umeniona leo humu.

Taasisi kuajiri wenyewe ni uhuni tu, tuna imani na utumishi.
Kumbe ni mmoja wetu.... Nilijua unataka kutuchanganya tena.... sisi watuachie psrs tu Tutaishi nao ....hizi taasisi zimejaa kujuana sana
 
Tuko pamoja comrade, psrs iendelee na majukumu yake hadi siku Yesu anarudi duniani mara ya pili.
 
Update

From tar 1 July to trh 18 Aug watu 1,946 wamelamba asali.

So from 18 Aug to date wameongezeka watu 786, ivo idadi kufikia 2,732.

Therefore, toka mwaka mpya wa fedha umeanza ni almost watu 2,732 wamelamba asali.

Kwenye zile 6,000+ bado zipo wadau, tuzidishe maombi tu, tumebaki na almost nafasi 3,000+
 
Asa

Asante kwa update mwamba
 
Back
Top Bottom