HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bado hakuna kitu naona kama huu mzigo umefutwa na ukizingatia DUCE ilitajwa miongoni mwa taasisi zisizoingiza mapato serikalini. Wakuu wote wa taasisi zisizoingiza mapato waliambiwa wakajitafakari kama wanatosha
Duh hii ni kipengele aysee
 
Hii n hatar kiafya, nashindwa kujua shida kubwa ninin?? Au unakuta wanatangaza ajira ikiwa hawana nafac? Nataman speed inayotumika kwenye written wangeendelea nayo had kwenye oral...written mnapiga paper leo ndan ya muda mfupi matokeo wanayatoa... Kwann matokeo ya oral yanakawia hivi??
 
Back
Top Bottom