HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? Hama NCHI

Sijasema kwa nia mbaya nimekutafakarisha Ila kwa kua kisu kimegusa mfupa ndio unaanza kuona nimeuliza vibaya ingawa sijauliza vibaya ni swali fikirishi na linakupa morali ya kupambana
Acha ubishi wewe. Usijeitwa Oral ukaanza ubishi
 
Mbwembwe nyingi mtandaoni bado unaishi kwa Mama? Hama NCHI

Sijasema kwa nia mbaya nimekutafakarisha Ila kwa kua kisu kimegusa mfupa ndio unaanza kuona nimeuliza vibaya ingawa sijauliza vibaya ni swali fikirishi na linakupa morali ya kupambana
Wewe ni ***** we mtoto wewe , una nifahamu mpaka uandike huo ufala ulioandika ? , Jiangalie ,utakuja potea .
Chunga adabu yako , au mtu akiandika kwamba ni jobless unadhani lazima mpaka awe anakaa na kulishwa na wazazi wake .
Ninyi ndio mnaopakwa mafuta na kupakatwa kwa kimbelembele na tabia ya kuleta Shobo kama machoko .
Fala wewe
 
IT anaperuzi kwenye web naona katupia call for interview udom, Mzigo( pdf) inaweza dondoka muda si mrefu, TUMUOMBA MWENYE KUTOA RIZIKI IT apress button.
Hopefully ataendeleza ile kasi ya bandika bandua kama ya mwezi wa nane
 
Kuna wapuuzi ni mawakala wa kuharibu lengo la huu mjadala , let's focus .
Achaneni na huyo fala wala msimjibu chochote kuanzia sasa .
 
Back
Top Bottom