Noma jamaaa wameandika barua za madai tarehe 1 zifike Halmashauri Leo wadau account hazija chekaJamani wenzangu pesa za kujikimu ilichukua muda gani maana dah hali tete
Noma jamaaa wameandika barua za madai tarehe 1 zifike Halmashauri Leo wadau account hazija chekaJamani wenzangu pesa za kujikimu ilichukua muda gani maana dah hali tete
mkuu hii ni automatic reply confirmation. tumezizoea sana cc watafutaji wa ajiraKumbe TAA Wana reply ukiomba kazi.
Thank you for contacting Tanzania Airports Authority
info@airports.go.tz
Received with thanks, we are working on it, response on this will be communicate to you timely. --- Tunashukuru kwa kuwasiliana nasi, ombi lako linafanyiwa kazi.
IT anaanza kutuonesha dalili kama za june,,Aysee hali ni tete IT bado anatukaziaa.
Waandike barua rasmi kwa mkurugenzi wa halmashauri, kupitia kwa mkuu wa Idara ya kukumbushia kuhusu madai yao!! Usitumie muda mwingi kuulizia kwa maafisa utumishi kwa mdomo!!. Ila Barua isiwe ya kulalamika na kushutumu (hata kama unastahili kulalamika, makazini kuna hekima yake) bali kukumbushia. Halafu unatulia, ukiona kimya baada ya muda unaandika tena!! Wakati mwingine wakurugenzi huwa walishaidhinisha malipo, lakini watu wa kati kama maafisa utumishi na wahasibu huamua kusubirisha malipo wakiwa na mategemeo kuwa wahusika watawafuata wakiwa na kitu kidogo!!Noma jamaaa wameandika barua za madai tarehe 1 zifike Halmashauri Leo wadau account hazija cheka
We jamaaa unanifurahishaga sana.Majamaa yameamua kukaza mwanzo mwenga ,maanina tarehe 8 leo mkeka hamna ...
we mwache atamfuata kitenge..Tumuwashieni moto IT hadi ashushe mkeka😂😂😂
Akifanya hivyo tumeishaaa tukutane december.we mwache atamfuata kitenge..
Jobless tunaisoma namba mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jamaaa unanifurahishaga sana.
Wewe endelea kunyonya kwa MamaWaachie mikeka aisee ,wameanza kukera
Kwa mfano wapi mkuu ili tuwajue au wanaleta mada gani ili tuzipuuze?Niwakumbushe tu: Kumbukeni lengo la uzi, kuna mamluki humu wanawapoteza mchezoni.
Kulikuwa na ulazima wakujibu kiongozi....Wewe endelea kunyonya kwa Mama
Hakuna umuhimu na wewe kulikua na umuhimu wowote kujibu?Kulikuwa na ulazima wakujibu kiongozi....
Usijishushe heshima yako...Hakuna umuhimu na wewe kulikua na umuhimu wowote kujibu?
Kweli Chiefmajobless tupendane.one love.