HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii nchi ngumu sana *****.

Kuna watu tuna 'received' zina miezi 3 sasa lakini bado hatujaitwa kwenye interview mpaka leo halafu kule kwenye web hamna chochote kinachoendelea.

Maisha kwa jobless hayajawahi kua fair kabisa.

Kila siku ni kuishi kwa matumaini tu[emoji28].

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah inasikitisha sana.
 
Sio poa mkuu dah naona kuna jambo linakwamisha michakato pale psrs sio kwa ukimya huu
Kikubwa ni kuwa na uvumilivu tu mkuu na kuendelea kuji keep busy na other issues usiwe unaweka much expectations kuhusu pdf pdf pdf itakuwa inakuumiza sana kila unapoona haijatoka u just relax mambo yatajiset
 
Wewe ulifanikiwaje mkuu kuacha kuwaza pdf muda wote...em tusaidiane kushare experience au ndo ukishalamba asali automatically unakua unaona wanaowaza pdf kama vile wazembe flani ivi 😅
 
Back
Top Bottom