Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Majobless tuendelee kuvuta subra kwani harakaharaka haina mbaraka, japo ngojangoja humiza matumbo, yote kwa yote subra muhimu sana.
Mkuu ni kweli ila bills bado nazo zinakusubiri kulipa.Majobless tuendelee kuvuta subra kwani harakaharaka haina mbaraka, japo ngojangoja humiza matumbo, yote kwa yote subra muhimu sana.
HapanaHilo linategemeana na mwajiri
Huamini au vipi ? inategemeana na muajiri wako tu wengine hata week haipiti unapataHapana
Amina,, naomba kusaidiw jmn mwajiri anataka sifa ya astashahada wakat mm nina shahada,, nmetaka kusubmit tu mfumo ukakataa, nisaidien nifanyeje maana napitwa na nafasi nyingi jaman,, nataka niondoe hicho chet kinacholeta shida kwenye mfumo wa ajira portal naomba msaada pliziiiiNi siku nyingine tenaa jobless katika harakati za kusaka asali psrs....mung atujaalie jobless tuchomokee
Duh mkuu hiyo ni ngumu maana mfumo ule hauruhusu mtu mwenye degree kuomba kazi ya diploma labda uwapigie wakuondolee cheti cha degree ubaki kama diploma (hili sin hakika kama watakusaidia)Amina,, naomba kusaidiw jmn mwajiri anataka sifa ya astashahada wakat mm nina shahada,, nmetaka kusubmit tu mfumo ukakataa, nisaidien nifanyeje maana napitwa na nafasi nyingi jaman,, nataka niondoe hicho chet kinacholeta shida kwenye mfumo wa ajira portal naomba msaada pliziiii
Aseey,, mbona sasa kama vile sio fair nmejisikia vibay kiukweliDuh mkuu hiyo ni ngumu maana mfumo ule hauruhusu mtu mwenye degree kuomba kazi ya diploma labda uwapigie wakuondolee cheti cha degree ubaki kama diploma (hili sin hakika kama watakusaidia)
Yaan mwenye diploma naye pia hatakiwi kuomba kazi za certificate hivi hili siyo janga kweli wakat anakuwa na vyeti vyoteAseey,, mbona sasa kama vile sio fair nmejisikia vibay kiukweli
Lengo PSRS Wanafanya hvyo kupunguza utitili wa jobless kwenye usail...Yaan mwenye diploma naye pia hatakiwi kuomba kazi za certificate hivi hili siyo janga kweli wakat anakuwa na vyeti vyote
Mmmh,,, kweli Mungu atusaidie sanaWanafanya hvyo kupunguza utitili wa jobless kwenye usail...
Lengo lao PRSR
Ni kujaribu bahati yako ilipo sehemu moja.....
kwahy database yao ni mwaka gani au ndo ile Kauli ya N/W inatekelezwa kabla haijapitishwa..Mimi Nina received za 2018, 2019 kada Investigation Officer na Registration Officer RITA na NIDA. Ila naona received hzo hzo wameita watu kazini Bila kufanyisha interview . Watatuua hawa
Sasa jamani huoni kama wataruhusu mtu wa degree kuomba diploma ni kama unyonyaji lazima washindanishe waombaji wenye vigezo sawa katika kushindana kuna baadhi ya mambo mtu mwenye degree automatic atakua mzuri zaidi ya diplomaYaan mwenye diploma naye pia hatakiwi kuomba kazi za certificate hivi hili siyo janga kweli wakat anakuwa na vyeti vyote
Mkuu...Amina,, naomba kusaidiw jmn mwajiri anataka sifa ya astashahada wakat mm nina shahada,, nmetaka kusubmit tu mfumo ukakataa, nisaidien nifanyeje maana napitwa na nafasi nyingi jaman,, nataka niondoe hicho chet kinacholeta shida kwenye mfumo wa ajira portal naomba msaada pliziiii
hongera kwa kulamba asali nduguJamani wenzangu pesa za kujikimu ilichukua muda gani maana dah hali tete
Ni ngumuuuDuh mkuu hiyo ni ngumu maana mfumo ule hauruhusu mtu mwenye degree kuomba kazi ya diploma labda uwapigie wakuondolee cheti cha degree ubaki kama diploma (hili sin hakika kama watakusaidia)
yap na hii imekaa kitaalamu.Lengo PSRS Wanafanya hvyo kupunguza utitili wa jobless kwenye usail...
Ni kujaribu bahati yako ilipo sehemu moja.....
Dah mwanangu IT katutenga kinoma sio poa 🤦♂️Ni ngumuuu
Wapigie simu watoe cheti cha degree wakikuuliza sababu waambie nataka niupload upya wakikitoa edit taarifa uonekane unasoma diploma omba kaziAmina,, naomba kusaidiw jmn mwajiri anataka sifa ya astashahada wakat mm nina shahada,, nmetaka kusubmit tu mfumo ukakataa, nisaidien nifanyeje maana napitwa na nafasi nyingi jaman,, nataka niondoe hicho chet kinacholeta shida kwenye mfumo wa ajira portal naomba msaada pliziiii
Jamaa pia ni wataalamu Hawaondoi kirahisi mkuu maana pia kama alishaomba kazi ya Degree pale rekodi zake zipo pia na Utumishi wana Link pia na TCU kwahiyo kukudaka ni fasta tu.Wapigie simu watoe cheti cha degree wakikuuliza sababu waambie nataka niupload upya wakikitoa edit taarifa uonekane unasoma diploma omba kazi