HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapan ni tunasubiri kuanza mafunzo ya jeshi la uhifdhi so hatujasain chchte tumeambiwa tu tutaarifiwa wakiwa tyr so hakuna jinsi tuko na barua zetu mtaa
Nyie mpo bado sana,mpk TANAPA aite watu interview, placement zitoke ndo wote TFS,NCAA,TAWA na TANAPA muende mlele kwa pamoja,i think Kati ya January au March 2024
 
Tanganyika inabeba mzigo mkubwa sana Taasisi zote za Muungano ikiwemo jeshi na polisi inalipwa Tanganyika. Zanzibar hatoi shilingi moja.
Wakojani vichwa flat wanatuvuna Sana , yawezekana hata kasi ya kuajiri serikali kuu ingekuwa kubwa kama si hawa wakojani kuvuna maokoto ya bure bure toka serikali kuu
 
daah utumishi wamegomesha au, yaani kitaa kina toa demo ya kufa mtu.

watu tumekua role model wa msoto
toeni mikeka wazee, njaa ni kali mno
Mkuu acha tu,Si majeshi si huku Utumishi,Yaani ni mwendo wa ndoige.

Kila siku unasema huenda kesho itakua at least Ila ni kinyume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom