Hapana mkuu siwezi kuona wanaowaza pdf ni wazembe ni sahihi kuwaza pdf koz mtu umefanya interview so automatically unakuwa curious kujua… ila kufanikiwa kuacha pdf muda wote labda uwe tu unaji keep busy uwe na other issues za kufanya lasivyo utakuwa na stress sana mkuu kusubiria pdf ambayo hujui kama umo au haumoWewe ulifanikiwaje mkuu kuacha kuwaza pdf muda wote...em tusaidiane kushare experience au ndo ukishalamba asali automatically unakua unaona wanaowaza pdf kama vile wazembe flani ivi 😅