HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
🤣🤣Hatugombani, nawaweka sawa tu vijana maana najua vichwa vyao vishapata moto.
Mtoa mada anashangaa, inakuaje watu wa kada yake hawajaitwa wote kazini harafu utumishi wanatoa tangazo lingine la kazi au ndo "washaliwa vichwa"?.

Ndio nikamjibu nafasi mpya za kazi zikitoka zisitangazwe, kisa walioomba awali hawajaitwa wote?

Akasema hapana hamaanishi hivyo ila anashangaa kuona kada yake linatoka tangazo lingine ikiwa wale wa mwanzo hawajaisha wote kuitwa kazini kulingana na idadi iliyokuwa inatakiwa.

Ndio nikamaliza kwa kumjibu, utajuaje labda km mlikandwa (kama alivyohisi yeye mwenyewe huko juu) au database mpo ila huyu muajiri hataki watu wa database

Na hapa ndipo tunapopaza sauti "MATOKEO YA ORAL NI HAKI YETU"
Wangekuwa wanatuwekea matokeo, mtu unakuwa unajua ulichokivuna. Mfano mzuri Taesa, kwasasa hivi ukipiga Oral matokeo yako unayaona. Utumishi waige hilo.
Kikubwa ni kujiandaa KISAIKOLOJIA...ukiona TAJIRI anafanya hivyo kuna mawili, HUENDA anataka wengi zaidi...au alionao mezani HAWAJAMSHAWISHI kuendeleanao...
 
😭PSRS wanachangia kuharibu uchumi wa vijana na Taifa kwa ujumla.

Vijana tunastress kwa kusubiri hatima yao muda wote wanaingia ajira portal zaidi ya mwaka mzima kufuatilia matokeo.

Huu ni unyanyasaji wa wazi. 😭

VIJANA TUTAFUTE HELA.

IT NA KAT.BU WAKE SIO WATU WETU😂.
 
Kabisa mkuu ,inakera na inachosha Sana , ndio maana kuna wengine huwa wanapata placement na hawaendi hata kureport kwenye vituo vya kazi au hata kwenda kuchukua barua za placement Dodoma , huwezi kukaa muda wote huo kila siku unachungulia kwenye website eti kusubiri placement ,kuna point inafika akili inachoka kabisa na mtu anasahau hata kama alishawahi fanya usahili .Ndio hizo cases za watu kupata placement muda mrefu na hata hawajui kama wakishapata hizo kazi .

Hii ni unfair kabisa ,ndio maana tunapiga kelele watoe placement haraka ,kama kazi hazina uharaka ni bora wasitangaze kabisa , wasubiri mpaka uhitaji uwepo .
Na issue ya data base wafanye ijulikane kabisa kwenye profile kama mtu kafanya isahili na kuingizwa kwenye Data base au la .
Kinyume na hapo ni kupotezea watu nauli ,muda na efforts .

Wafanyie kazi hizo issues
 
[emoji24]PSRS wanachangia kuharibu uchumi wa vijana na Taifa kwa ujumla.

Vijana tunastress kwa kusubiri hatima yao muda wote wanaingia ajira portal zaidi ya mwaka mzima kufuatilia matokeo.

Huu ni unyanyasaji wa wazi. [emoji24]

VIJANA TUTAFUTE HELA.

IT NA KAT.BU WAKE SIO WATU WETU[emoji23].
Kabisa mkuu ,inakera na inachosha Sana , ndio maana kuna wengine huwa wanapata placement na hawaendi hata kureport kwenye vituo vya kazi au hata kwenda kuchukua barua za placement Dodoma , huwezi kukaa muda wote huo kila siku unachungulia kwenye website eti kusubiri placement ,kuna point inafika akili inachoka kabisa na mtu anasahau hata kama alishawahi fanya usahili .Ndio hizo cases za watu kupata placement muda mrefu na hata hawajui kama walishapata hizo kazi .

Hii ni unfair kabisa ,ndio maana tunapiga kelele watoe placement haraka ,kama kazi hazina uharaka ni bora wasitangaze kabisa , wasubiri mpaka uhitaji uwepo .
Na issue ya data base wafanye ijulikane kabisa kwenye profile kama mtu kafanya isahili na kuingizwa kwenye Data base au la .
Kinyume na hapo ni kupotezea watu nauli ,muda na efforts .

Wafanyie kazi hizo issues.

Nashindwa kuelewa ni kwanini tunakuwa na taasisi na watu wanalipwa mishahara mikubwa kuziongoza na wanashindwa kufanyia kazi vitu vidogo kama hivyo , hii ni aibu .
Kila siku wanaandikiwa na kuambiwa complaints Ila hawabadiriki
 
Njaa ni kali kwa vijana. Na ushindani ni mkubwa sana. Lakini pia ajira ni chache sana hili lipo wazi na serikali inafahamu sasa nafasi chache zinopopatikana serikali inapaswa kujua hizo nafasi zinatolewa macho sana kutokana na hali tuliyonayo so zinatengeneza uchu mkubwa sana kwa vijana.

Inashindikana vipi matokeo yatoke kwa wakati tujue moja tuendelee na mambo mengine. We know hatuwezi kupata wote lakini ni ngumu kuendelea na shughuli zingine kwa ufanisi wakati kuna sintofahamu kuhusu usaili tuliofanya.

Hili suala linatakiwa lilekebishwe.
 
Back
Top Bottom