HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kabisa mkuu ,inakera na inachosha Sana , ndio maana kuna wengine huwa wanapata placement na hawaendi hata kureport kwenye vituo vya kazi au hata kwenda kuchukua barua za placement Dodoma , huwezi kukaa muda wote huo kila siku unachungulia kwenye website eti kusubiri placement ,kuna point inafika akili inachoka kabisa na mtu anasahau hata kama alishawahi fanya usahili .Ndio hizo cases za watu kupata placement muda mrefu na hata hawajui kama walishapata hizo kazi .

Hii ni unfair kabisa ,ndio maana tunapiga kelele watoe placement haraka ,kama kazi hazina uharaka ni bora wasitangaze kabisa , wasubiri mpaka uhitaji uwepo .
Na issue ya data base wafanye ijulikane kabisa kwenye profile kama mtu kafanya isahili na kuingizwa kwenye Data base au la .
Kinyume na hapo ni kupotezea watu nauli ,muda na efforts .

Wafanyie kazi hizo issues
Akuna kitu kinachosha kama kufuatilia placement kwenye website yani kila placement unaluka nayo alafu huoni kitu........ hawa waajiliwa wetu namba zetu za cm wanazo na email zetu wanazo. Kama atujapita kwenye sahili zao watutumie ata email au ujumbe mfupi kwamba tujalibu tena nafasi zikitoka, mtu unasubili placement mpaka unakata moto
 
Bongo bhana just imagine watu wamelamba asali taasis x toka mwezi wa pili baada ya kupeleka information zao zote mpk sasa wanasubiri kuanza kazi hii nchi bila stamina utoboi
Duh wa pilii mpaka leoo mkuu??unatutishaa asee
 
Mim nimelamba asali mwez wa 7 nipo lkn nipo mtaan na barua yangu nasubri kuanza kazi so am talking from experience lkn lets not expose hio taasis ila maisha ndo hayo wakuu serikali yetu hii tujue kuishi nayo tu
Mbona hueleweki sasa, mara tangu mwezi wapili mara wasaba. Which is which, tushike lipi hapo !
 
Kuna ambao wapo toka mwez wa pili na kuna sie wengne wa mwez wa 7 na 8 tumeongezwa kwenye foleni
Mkuu labda nikwambie tuu kama Kuna issues ulikuwa unafanya kipindi cha nyuma hapo zidi kuifanya kwa sasa kama ipo , coz iyo sehemu uliyopata kazi kunawatu walipeleka barua mwezi wa pili wakaitwa kuaza kazi mwezi wa 8 , najua umevumilia mpaka umechoka ila chukua iyo sample niliyokupa , mungu akupe roho ya uvumilivu iwe juu Yako
 
Amna jinsi
 
😭PSRS wanachangia kuharibu uchumi wa vijana na Taifa kwa ujumla.

Vijana tunastress kwa kusubiri hatima yao muda wote wanaingia ajira portal zaidi ya mwaka mzima kufuatilia matokeo.

Huu ni unyanyasaji wa wazi. 😭

VIJANA TUTAFUTE HELA.

IT NA KAT.BU WAKE SIO WATU WETU😂.
Dah mkuu umeongea kwa hisia sana huu ujumbe uwafikie viongozi wetu Mh.R.Kikwete na Waziri S.Chawene
 
Kikubwa ni kujiandaa KISAIKOLOJIA...ukiona TAJIRI anafanya hivyo kuna mawili, HUENDA anataka wengi zaidi...au alionao mezani HAWAJAMSHAWISHI kuendeleanao...
Kumbe kuna mda mwajiri anaweza kukosa ushawishi kwa waliopo mezani? Je kwa kigezo cha maksi za oral au wanafanya vetting?
 
Mim nimelamba asali mwez wa 7 nipo lkn nipo mtaan na barua yangu nasubri kuanza kazi so am talking from experience lkn lets not expose hio taasis ila maisha ndo hayo wakuu serikali yetu hii tujue kuishi nayo tu
Vipi job offer letter wamekupatia?
 
Back
Top Bottom