HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa kama walioitwa kazini ndio waliofaulu na nyinyi mliobaki mmekandwa ?
Au kama muajiri hataki watu wa database ?

WEWE NENDA KAONGEZE RECEIVED, UKIITWA KWENYE INTERVIEW KAMA UWEZO UNAO NENDA
Sawasawa mkuu wenda tukawa tumekandwa, ngoja tuongeze received mungu ni mwema wenda uko mbele akafungua njia.
 
Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Nadhani wakifanya hivyo watatoa namna ya kurecruit vijana wa kujitolea
 
Hoja ya kutoa kipaumbele kwenye ajira kwa watu wanaojitolea imepigiwa debe sana leo bungeni na spika na Ridhiwan Kikwete!! Ridhiwan amesema serikali inaandaa sheria itakayotoa mwongozo kwenye hilo!! Tatizo ni kwamba hizo nafasi za kujitolea wengine watazisikia tu!! Kulamba asali kwenye mashirika yenye asali wa nyuki wadogo itageuka kuwa ndoto ya mchana!! Lakini chini ya PSRS vijana wengi wametinga huko bila connection yoyote!
Ila ilihawataki kuliongea kabisa la kuongeza mda wa wakandwaji kukaa database kutokana na ucheleweshwaji wa mchakato wa usail...
 
Sasa kama walioitwa kazini ndio waliofaulu na nyinyi mliobaki mmekandwa ?
Au kama muajiri hataki watu wa database ?

WEWE NENDA KAONGEZE RECEIVED, UKIITWA KWENYE INTERVIEW KAMA UWEZO UNAO NENDA
We naye uwe unaelewa mada na si kukurupuka
 
ndugu zangu,hatuna haja ya kugombana
🤣🤣Hatugombani, nawaweka sawa tu vijana maana najua vichwa vyao vishapata moto.
Mtoa mada anashangaa, inakuaje watu wa kada yake hawajaitwa wote kazini harafu utumishi wanatoa tangazo lingine la kazi au ndo "washaliwa vichwa"?.

Ndio nikamjibu nafasi mpya za kazi zikitoka zisitangazwe, kisa walioomba awali hawajaitwa wote?

Akasema hapana hamaanishi hivyo ila anashangaa kuona kada yake linatoka tangazo lingine ikiwa wale wa mwanzo hawajaisha wote kuitwa kazini kulingana na idadi iliyokuwa inatakiwa.

Ndio nikamaliza kwa kumjibu, utajuaje labda km mlikandwa (kama alivyohisi yeye mwenyewe huko juu) au database mpo ila huyu muajiri hataki watu wa database

Na hapa ndipo tunapopaza sauti "MATOKEO YA ORAL NI HAKI YETU"
Wangekuwa wanatuwekea matokeo, mtu unakuwa unajua ulichokivuna. Mfano mzuri Taesa, kwasasa hivi ukipiga Oral matokeo yako unayaona. Utumishi waige hilo.
 
Back
Top Bottom