Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Pamoja mkuuAsa
Asante kwa update mwamba
Pamoja mkuuAsa
Asante kwa update mwamba
Wengine tunasubiri kuona kama tutapewa ajira za kudumu kutoka kwenye mikatabaWazee nyie si mnasubiri placement mi nasubiri barua ya kudhibitishwa nianze mapambano ya kuhama hii nchi yetu sote haiwezekani watu wengine wanaogelea asali wengine maji ya chumvi.
Mkuu naenda musoma hali yangu nikikaa mda mrefu kwenye gari nikifika ni mgonjwa
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Daaaaah...wengine wameingiziwa SALARY ya AUGUST...yani kuna taasisi zina hamu na majobless wastaaf...wakifika tu...wanawapa ofisi..Wengine tunasubiri kuona kama tutapewa ajira za kudumu kutoka kwenye mikataba
Mi nimebakiza siku 340 ni dhibitishwe kazini alaf mapambano yaendelee kwenye dimbwi la asali,hili swala la kuhama huwa likoje?mpk upaate kwanza nafasi kwenye hiyo taasisi unayoenda(mfn kwa placement)au unahamaje hamaje ndungu?Wazee nyie si mnasubiri placement mi nasubiri barua ya kudhibitishwa nianze mapambano ya kuhama hii nchi yetu sote haiwezekani watu wengine wanaogelea asali wengine maji ya chumvi.
Unakuwa replaced na mtu mwingine, hakuna taasisi inayosubiri mfanyakaziNaombeni kuuliza hivi mfn mtu ukifanya interview 2,moja 2022(data base),nyingine 2023(direct),ya 2023 jina likatoka ukapangiwa,mfn halmashauri x,ukaanza kazi,ukapata check number,mshahara wa miezi 2 hivi,baada ya miezi 3 Mara ghafla placement ya 2022(data base)zinatoka umepangiwa taasisi nzuri ya asali debe zima,ujaenda kuripot,najua huwez kuhama mpk dhibitishwe kazini(12 months)swali Lang je hiyo taasisi inaweza kukusubir mpk umalize miezi ya kudhibitishwa ndo uhamie kwao?
DuuhUnakuwa replaced na mtu mwingine, hakuna taasisi inayosubiri mfanyakazi
Alafu now placement kujirudia ni ndra sanaNaombeni kuuliza hivi mfn mtu ukifanya interview 2,moja 2022(data base),nyingine 2023(direct),ya 2023 jina likatoka ukapangiwa,mfn halmashauri x,ukaanza kazi,ukapata check number,mshahara wa miezi 2 hivi,baada ya miezi 3 Mara ghafla placement ya 2022(data base)zinatoka umepangiwa taasisi nzuri ya asali debe zima,ujaenda kuripot,najua huwez kuhama mpk dhibitishwe kazini(12 months)swali Lang je hiyo taasisi inaweza kukusubir mpk umalize miezi ya kudhibitishwa ndo uhamie kwao?
Unakuta wana uhitaji kwa haraka ndo manaDaaaaah...wengine wameingiziwa SALARY ya AUGUST...yani kuna taasisi zina hamu na majobless wastaaf...wakifika tu...wanawapa ofisi..
Jitu linapata placement Halafu linajivuta vuta ,huu ujinga sanaLabda wanaotakiwa kufuata barua wanadelay kwenda kuchukua barua zao wanasbbisha wengine wachelewe kupta placement
Insu siyo kuchukua barua,sio lazima mtu afate dodoma,anwani c zipo c watume?,hakuna mtu anayechelewa kuchukua barua,hawatoi tu kwa sababu hawajakamilisha taratibu zaoJitu linapata placement Halafu linajivuta vuta ,huu ujinga sana
Mkuu hakuna taasis inayosubria mfanyakazi hiyo nafasi atapewa mtu mwingineNaombeni kuuliza hivi mfn mtu ukifanya interview 2,moja 2022(data base),nyingine 2023(direct),ya 2023 jina likatoka ukapangiwa,mfn halmashauri x,ukaanza kazi,ukapata check number,mshahara wa miezi 2 hivi,baada ya miezi 3 Mara ghafla placement ya 2022(data base)zinatoka umepangiwa taasisi nzuri ya asali debe zima,ujaenda kuripot,najua huwez kuhama mpk dhibitishwe kazini(12 months)swali Lang je hiyo taasisi inaweza kukusubir mpk umalize miezi ya kudhibitishwa ndo uhamie kwao?
Mkuu si mkoa huo huo tu [emoji1787] wakuu niombeeni nisije nikaoa huku nitaacha watoto ni mbali sana hukuHaha juzi ndio nimetoka Dar nilikuwa naenda Tarime. Ilibidi nishuke mwanza nilale kwanza.
DuhMkuu si mkoa huo huo tu [emoji1787] wakuu niombeeni nisije nikaoa huku nitaacha watoto ni mbali sana huku
Ni ngumuWakuu hivi.utumishi wana access ya kujua mtu kama ameajiriwa au laah.
Yaani mfano kuna watu wameajiliwa juzi tamisemi je ikatokea yupo kwenye database ya utumishi ataweza kuajiliwa ilhali amesharipoti kituo chake.cha kazi