HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naombeni kuuliza hivi mfn mtu ukifanya interview 2,moja 2022(data base),nyingine 2023(direct),ya 2023 jina likatoka ukapangiwa,mfn halmashauri x,ukaanza kazi,ukapata check number,mshahara wa miezi 2 hivi,baada ya miezi 3 Mara ghafla placement ya 2022(data base)zinatoka umepangiwa taasisi nzuri ya asali debe zima,ujaenda kuripot,najua huwez kuhama mpk dhibitishwe kazini(12 months)swali Lang je hiyo taasisi inaweza kukusubir mpk umalize miezi ya kudhibitishwa ndo uhamie kwao?
Sahau kabisa hiyo kitu.
 
Mtoko wa pdf umerudi katika speed yake ya awali mwendo wa choo cha mbuzi...jobless tuendelee kuvumilia
 
Back
Top Bottom