HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwaio nafasi mpya za kazi zikitokea zisitangazwe kisa watu wa miezi ya nyuma hamjaitwa kazini?
Nadhani mwamba ujanipata sina maana kuwa wasitangaze nafasi zikitokea, maana yangu ni kwa kada yangu tulifanya usaili wakihitaji watu kadha lakin mpaka sasa hwajaita wote kazi, sasa naona tangazo lingine la kada ileile na wala sio tangazo la marudio.
 
Sasa kama walioitwa kazini ndio waliofaulu na nyinyi mliobaki mmekandwa ?
Au kama muajiri hataki watu wa database ?

WEWE NENDA KAONGEZE RECEIVED, UKIITWA KWENYE INTERVIEW KAMA UWEZO UNAO NENDA
 
Back
Top Bottom