Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Ndo mambo ya riziki mkuu tuendlee tu kupambana usikate tamaaWengine bench miaka 7 Mpaka tunataman Tupate hata kaz za kufagia alimradi Mkono uende kinywani. Wanaibuka madogo wa juzi tu unawaona kwenye PDF. Stress stress