Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
Nafikir access
😂😂😂 mmekimbia ligi ya psrs.My mission was successful
😂😂😂 mmekimbia ligi ya psrs.My mission was successful
Kwa leo inaonekana hana mpango wa kucheka!!IT bado hajacheka. Asali Asali
IT bado hajacheka. Asali Asali
Kwani hujaona taasisi zikifanya sajili zenyweNafikir access
😂😂😂 mmekimbia ligi ya psrs.
Kuna taarifa nimeichek somewhere hawa psrs wana msimba,wameondekewa na mfanyakazi wao.IT bado hajacheka. Asali Asali
Sasa mbona advertisment na Call for interview anapostKuna taarifa nimeichek somewhere hawa psrs wana msimba,wameondekewa na mfanyakazi wao.
Which mission[emoji1787][emoji1787]My mission was successful
Michato ya placement haijkamilika ukiona hawapostSasa mbona advertisment na Call for interview anapost
Panda Basi,dar to mwanza 50kWenye utaalamu wa bei za usafiri wa ndege nisadieni walau kuruka kutokea dar to mwanza ticket inaweza kuwa inauzwa kias Gani? Na hapo bado sijafika ila nikupunguza safari tu
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Baadae wanachukua hao hao wenye mkataba wanawaajiri kwahyo sio za kuzipuuzia mkuu
New I'd, Dira jipya chupi la ZamaniWhich mission[emoji1787][emoji1787]
Upo Philip's nn kwa mama leo nikutafuteNew I'd, Dira jipya chupi la Zamani
Dah mambo ya choo cha mbuzi yamerudi tena 😫Ukimya wa IT unafikirisha sanaa,
IT fanya jambo wikendi iende safiiii
Ni huzuni sana,,aseeeDah mambo ya choo cha mbuzi yamerudi tena [emoji31]
Kuna nafasi za kazi huko wadau mkaongeze receivedUkimya wa IT unafikirisha sanaa,
IT fanya jambo wikendi iende safiiii
Ukimya wa IT unafikirisha sanaa,
IT fanya jambo wikendi iende safiiii
Watoe bas na placent pdf zito zitoKuna nafasi za kazi huko wadau mkaongeze received
Kusbri placement psrs kunachosha mnoo ila kila 1 ana wakati wake aliopangiwa na mungu acha tuendlee kukomaa na kusubiriNi huzuni sana,,aseee
Kbsa mkuu umesema kweli