HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pole mkuu. Najua ugumu wa kukaa benchi. Wakati nikiwa benchi niliwahi kwenda kuomba kazi NPS wakanishtukia wakidhani mm labda usalama wa taifa. Wakapewa wenye elimu ya chini mm nikaachwa. Usiombe kupigika mtaani kkwa muda mrefu. Hukawii kwenda kuomba kazi ya kuzoa taka halmashauri. Ni balaa!
NPS hii ya Mashtaka au hii ya parking?
 
Back
Top Bottom