Wewe ndio unatakiwa uende ukacheck vizuri.Hilo tangazo nilakweli lipo kwenye website yao mkuu nenda kacheck vizur
TUJIFUNZE KUSOMA VITU KUTOKA OFFICIAL WEBSITE NA TUTULIZE NDONGA
Wewe ndio unatakiwa uende ukacheck vizuri.Hilo tangazo nilakweli lipo kwenye website yao mkuu nenda kacheck vizur
Amen Kiongozi....[emoji120]Mim naomba Mungu wasaka ajira waliomaliza miaka ya nyuma kidogo wapate kazi wote maana mtaani sio poah hususani ukiwa na majukumu au ukiwa bado unaishi Kwa wazazi..noma sana
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Leo Kuna uhakika wa 99.9% ya PDF kuachiwa kabla ya saa10 jioni, tusubiri tuoneKwa hiyo IT Kagoma kutoa asali tena au sio ?
Usimfokee sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo huyu jamaa Kagoma kuachia pdf au ?
Mkuu tangazo la transfer vacancy lipo lakini pia la temporary vacancy ambalo umesema limechakachuliwa pia lipo kwenye website yao TAAWewe ndio unatakiwa uende ukacheck vizuri.
TUJIFUNZE KUSOMA VITU KUTOKA OFFICIAL WEBSITE NA TUTULIZE NDONGA
Oh kumbeMkuu tangazo la transfer vacancy lipo lakini pia la temporary vacancy ambalo umesema limechakachuliwa pia lipo kwenye website yao TAA
Mapost yotee hayo mkataba dah si waajiri tu permanent hao majamaaMkuu tangazo la transfer vacancy lipo lakini pia la temporary vacancy ambalo umesema limechakachuliwa pia lipo kwenye website yao TAA
Baadae wanachukua hao hao wenye mkataba wanawaajiri kwahyo sio za kuzipuuzia mkuuMapost yotee hayo mkataba dah si waajiri tu permanent hao majamaa
Sawa mkuuBaadae wanachukua hao haoa wenye mkataba wanawaajiri kwahyo sio za kuzipuuzia mkuu
usije ukamtukana lkn😄 maana tunakujua😂😂😂.Kwa hiyo huyu jamaa Kagoma kuachia pdf au ?
😅😅😅 jamaa ana jazba atulize munkari asije mchefua IT bureeusije ukamtukana lkn😄 maana tunakujua😂😂😂.
IT achia pdf 💥💥💥
Hapa Sasa nimekubali na nimeamini ni tangazo la kweliMkuu tangazo la transfer vacancy lipo lakini pia la temporary vacancy ambalo umesema limechakachuliwa pia lipo kwenye website yao TAA
Tutarudi kuleeeee😥😥😥😅😅😅 jamaa ana jazba atulize munkari asije mchefua IT buree
Sio kwa mwendo ule......!!!!Data base itakua imeisha