Mmmh hizi kazi jamani unahangaika wee na ukipata unapangwa mbaliiii safar siku tatu mpaka unakata tamaa [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Kheri tu kuliko ujoblessMmmh hizi kazi jamani unahangaika wee na ukipata unapangwa mbaliiii safar siku tatu mpaka unakata tamaa [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Mkuu Hadi fomu ya daktari unaonesha vielelezo hali ya kiafya ila unapangwa karibu na Uganda huko sijui Kenya [emoji24][emoji24][emoji24]Kheri tu kuliko ujobless
Kwan mkuu dar tu mwanza mbona ni karibu njoo hata na usafiri wa gari elfu 50 tuWenye utaalamu wa bei za usafiri wa ndege nisadieni walau kuruka kutokea dar to mwanza ticket inaweza kuwa inauzwa kias Gani? Na hapo bado sijafika ila nikupunguza safari tu
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Mkuu naenda musoma hali yangu nikikaa mda mrefu kwenye gari nikifika ni mgonjwaKwan mkuu dar tu mwanza mbona ni karibu njoo hata na usafiri wa gari elfu 50 tu
Mara mwanza ni karibu sana hata hivo kuna magari ya kutoka Dar Musoma Capricon zinapitia bariadi...ramadi mpaka Musoma... ila kama unakuja kwa Jet sio mbaya unakuwa umerahisisha zaidi
Njoo pm mkuuMara mwanza ni karibu sana hata hivo kuna magari ya kutoka Dar Musoma Capricon zinapitia bariadi...ramadi mpaka Musoma... ila kama unakuja kwa Jet sio mbaya unakuwa umerahisisha zaidi
Dah pole sn mkuuMmmh hizi kazi jamani unahangaika wee na ukipata unapangwa mbaliiii safar siku tatu mpaka unakata tamaa [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Leo anaanza mwezi mpya na mapdf mapyaItakuwa alikuwa anatest mitambo kwa ajili ya leo ngoja tuone leo.
Hope leo mambo ytkua mazuriLeo anaanza mwezi mpya na mapdf mapya
Mkuu tangazo halisi ni hili ni TRANSFER VACANCE na sio ajira mpya
Mbona hawa mda mrefu tu hata enzi za mzee walikua wanaajiri wenyewe hzi za mkataba, na hata hizi za sasa ni kazi za temporary na zilishatolewa go ahead kua taasisi zinaeza ruhusiwa ziajiri zenyewe za mkatabaNaona TAA wameanza kuajili wao wenyewe, watoto wa masikini tutakoma tembelea page ya mabumbe uone tangazo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Amiin bro 🤲🤲 mtaani sio poa kbsaaMim naomba Mungu wasaka ajira waliomaliza miaka ya nyuma kidogo wapate kazi wote maana mtaani sio poah hususani ukiwa na majukumu au ukiwa bado unaishi Kwa wazazi..noma sana
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Anha!! Kumbe..!! Thanks kwa taarifa mkuu.Mkuu tangazo halisi ni hili ni TRANSFER VACANCE na sio ajira mpya
Kutoka Twitter Wizara ya Uchukuzi hiyo post"