Asante sana utapata tu mkuu uskate tamaaHongera sana, yani tukiona hv nasi wengine tunaona siku yetu inakaribia, kila la kheri kwenye utumishi wako
Asante sana utapata tu mkuu uskate tamaaHongera sana, yani tukiona hv nasi wengine tunaona siku yetu inakaribia, kila la kheri kwenye utumishi wako
Asante mkuuHongera mwamba
HAsante mkuu
Mkuu hakuna cha gundu wala nuksi ni suala la kua na subira,kila 1 ana aliyoandikiwa,riziki yako ni kama kifo chako utaipata tu ni suala la muda...endlea kua mvumilivu usikate tamaaNa kuna watu watu tuna gundu mpka tunahis tumesahauliwa hatun haj ya kukufuru [emoji120]
hongera sana mkuuHatimaye namshukuru Mungu nimepata kazi leo, nimefanya interview mwezi wa sita mdas and lgas
Status selected for oral kwenye app
Soon na sisi tutachekelea mkuu au sio 😊👏hongera sana mkuu
Mwenye mji karudi👏👏👏TBS Bado,,,,,,,wanauhitaji
Necta
TAA
NGORONGORO
TANROAD
PSRS
Wizara ya mambo ya njee
Loading,,,,,,,,,,78%
Hizo taasisi zote tamuu naona 😋Mwenye mji karudi👏👏👏
Kabisa jamaa yangu. Naona uzi umefika page 2000 bado tupo bench lkn kitaeleweka tyuu.Soon na sisi tutachekelea mkuu au sio 😊👏
Kbsa mkuu hakuna kukata tamaa....nina wana wamekaa benchi mwaka na mwezi 1 juzi amechomoka so ni kuvumilia tuKabisa jamaa yangu. Naona uzi umefika page 2000 bado tupo bench lkn kitaeleweka tyuu.
kabisaaaKbsa mkuu hakuna kukata tamaa....nina wana wamekaa benchi mwaka na mwezi 1 juzi amechomoka so ni kuvumilia tu
Mkuu uwepo wako ni muhimu sana, ulitutenga mkuu, 🙏 Amina sana mkuu kwa izo taarifa.TBS Bado,,,,,,,wanauhitaji
Necta
TAA
NGORONGORO
TANROAD
PSRS
Wizara ya mambo ya njee
Loading,,,,,,,,,,78%
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwemaHatimaye namshukuru Mungu nimepata kazi leo, nimefanya interview mwezi wa sita mdas and lgas
Status selected for oral kwenye app
One love manHongera mzeeiya
H
Hongera sana kwake mkuuAnhaa, basi[QUOTE="Gavano23, post: 47626408, member: 66
Dah ! Unaweza kufuru aisee kila pdf unatoka hola ,Halafu kuna watu wana kazi sehemu nzuri private na bado wanalamba mapipa ya asali ,kuna demu anafanya kazi GGM na bado kabwia pipa la asali TBS leo ,
***** life halina usawa kabisa
Kilimo vipi mkuu??TBS Bado,,,,,,,wanauhitaji
Necta
TAA
NGORONGORO
TANROAD
PSRS
Wizara ya mambo ya njee
Loading,,,,,,,,,,78%
daah wizara ya kilimo wamekauka sana aiseehKilimo vipi mkuu??
Mm na @mfwendesawado tunawasubri hawa ndugu kwa hamu
Hivi kati ya Hawa uliotaja wapi Kuna asali ya nyuki wadogo mkuu?daah wizara ya kilimo wamekauka sana aiseeh
TFRA
NFRA
ASA
NIRC
TARI NK WOTE WAMEKAUSHA, naziona halmashauri tu
Nasikia TFRA& TARIHivi kati ya Hawa uliotaja wapi Kuna asali ya nyuki wadogo mkuu?
TARI mwezi huu walitoa placementsNasikia TFRA& TARI