HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
naskia wanasubiri watu wapungue kwenye kuchukua barua dodoma...
Anhaa, basi
Inabadilika mkuu
[QUOTE="Gavano23, post: 47626408, member: 66

Dah ! Unaweza kufuru aisee kila pdf unatoka hola ,Halafu kuna watu wana kazi sehemu nzuri private na bado wanalamba mapipa ya asali ,kuna demu anafanya kazi GGM na bado kabwia pipa la asali TBS leo ,
***** life halina usawa kabisa
 
Back
Top Bottom