AaminUpo njiani kulamba asali we relax tu soon jina lako lina appear kwa pdf zidi kuomba Mungu pia
AaminUpo njiani kulamba asali we relax tu soon jina lako lina appear kwa pdf zidi kuomba Mungu pia
Anaongelea web mwambie hatupe majibu ya app pia.
Inaonekana alienda kwenye sherehe si unajua kat kat ya mwaka watu wanataka wazaane harakaIT katuzoesha bandika bandua dah ss leo siku 3 bila bila
Sawa mkuu nimekupata nilitka nijue ilibadilika after oral au vp....but all in all mi sidhni kama kuna status baada ya oral interview,cha msing we endlea kupitia pdf za placementSijajua mkuu mi nilikuwa natumia web baada ya oral wiki kupita ndo nikadownload app ndo nikakuta iko vile not selected for oral kwa red
App mama jeni bye bye nikaaga mashindano.
IT ni mtu wetu hawez kutusaliti pdf leo itashuka ndefuuuuu💥💥💥.Mbona kimya sana kwenye placement ? , IT mzee wa flash shusha vitu bwan
ya kuwatesa majoblessWenda IT wa bandika bandua alikuwa field, sasa kamaliza kawachia wenye kazi yao waendeleze majukumu😂😂😂😂😂😂
naskia wanasubiri watu wapungue kwenye kuchukua barua dodoma...Mbona kimya sana kwenye placement ? , IT mzee wa flash shusha vitu bwana
Hii mada ilishajadiliwa labda.mgeni tu.Sawa mkuu nimekupata nilitka nijue ilibadilika after oral au vp....but all in all mi sidhni kama kuna status baada ya oral interview,cha msing we endlea kupitia pdf za placement
Inabadilika mkuuSasa bila ya kubadilika sidhani kama watapata taarifa kamiliii. May be inaweza kuwa inabadilishwa ili kutapa confirmation
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Hii mada ilishajadiliwa labda.mgeni tu.
Ukimaliza oral kwenye app inabadilika na inakuletea vitu vitatu.
Selected for oral
Selected for Null
Not selected for oral.
Jitahidi ufuatilie huu.mjadala ulishaisha humu
Malizia na not selected for nullHii mada ilishajadiliwa labda.mgeni tu.
Ukimaliza oral kwenye app inabadilika na inakuletea vitu vitatu.
Selected for oral
Selected for Null
Not selected for oral.
Jitahidi ufuatilie huu.mjadala ulishaisha humu
Nimedit mkuuMalizia na not selected for null
Wataalam wa status watahoji hiyo "yaani system icheze kwake tu na sio kwa wengine?,😂😂🤣Kama ulijibu maswali vzr mzee alfu ukakuta not selected hapo kuna walakin jipe matumaini huenda ni system imecheza mzee 😊
Mkuu naona somo la status limekuingia vyema🤣Lakini inatia moyo kidogo mwambie mtu ukweli Kama kujipanga upya aanze mapema
Ina
Haijawahi kutokea humu jf mtu aandikiwe not selected apate kazi.Wataalam wa status watahoji hiyo "yaani system icheze kwake tu na sio kwa wengine?,[emoji23][emoji23][emoji1787]
😅😅 haya yote yangeondoka kwa kutoa tokeo ya oralWataalam wa status watahoji hiyo "yaani system icheze kwake tu na sio kwa wengine?,😂😂🤣
Ivi yule maryjuan hakupataga kwelii??alikuaga na hyo not selectedHaijawahi kutokea humu jf mtu aandikiwe not selected apate kazi.
Never ever
Akuleta ushuhudaIvi yule maryjuan hakupataga kwelii??alikuaga na hyo not selected