Tupo pamojaAsante Mungu wangu nimekosa nafasi niliokua nasubiri, naomba aniongoze vema next time niweze kufanikiwa either kwa kufanya interview nyingine wakitoa au kwa kufanikiwa kwa mengine tunayopambana.. either ya yote namshukuru Mungu kwa uhai na afya njema.