Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
Umeitwa wap tena?Mbona mimi nimeitwa fasta sana?
Umeitwa wap tena?Mbona mimi nimeitwa fasta sana?
Muamini Mungu ila ujue lolote linaweza kutokea hata hao ambao hawapati siyo kwamba hawana imani au hawamuombi Mungu ni kwamba kila mtu Mungu ana mipango yake aliyompangia unaweza kujipa uhakika 100% kumbe Mungu amekupangia jambo jingine kabisaSasa unataka niwazaje mkuu.
Mbona Una mawazo mgando kwa hiyo unataka nijikatie tamaa.
Ninamwamini sana Mungu.
Ninamtegemea pia.
Atajibu kwa wakati
Sasa nafurahisha nini naona wachawi ni wengi Sana humu ndani.We jamaa unafurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I don't care nisipopata nitakuwa kwa database nisipoingia database..Muamini Mungu ila ujue lolote linaweza kutokea hata hao ambao hawapati siyo kwamba hawana imani au hawamuombi Mungu ni kwamba kila mtu Mungu ana mipango yake aliyompangia unaweza kujipa uhakika 100% kumbe Mungu amekupangia jambo jingine kabisa
Mwamba inaonekana umewakanda wakandaji, tunasubili shuhuda yako mwamba.I don't care.
Mkae kwa kutulia nitaleta ushuhuda humu.
Wenye roho mbaya ni wengi sana
We jamaa vipi bana Sasa nichukue nini wakati hata sikufahamu??wewe ukifanikiwa au usipofanikiwa mimi hainisaidii chochoteSasa nafurahisha nini naona wachawi ni wengi Sana humu ndani.
Wanachukia sana hata Kuona watu wanapata kazi
Inaonekana tumetoka kwenye agenda....!!!!!We jamaa vipi bana Sasa nichukue nini wakati hata sikufahamu??wewe ukifanikiwa au usipofanikiwa mimi hainisaidii chochote
Mimi mwenyewe nipo njia moja na wewe nasubiri placement na namuomba sana Mungu kuliko unavyodhani lakini katika hayo yote natambua kuwa lolote linaweza kutokea kwa sababu siwezi kumpangia Mungu anipe leo wakati amepanga kunipa kesho
ACHA MAKASILIKO NA UELEWE KWAMBA UKIINGIA ORAL LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA IT DOESN'T MATTER UMEJIBU VIPI MASWALI
Hapa ndiyo umeongea la maana sasa naona umetambua kwamba kuna KUTOKUPATA na KUTOINGIA DATABASE na kwamba MAISHA HAYANA FORMULAI don't care nisipopata nitakuwa kwa database nisipoingia database..
Nitaomba tena.
Maisha hayana formula.
Ila sio hofu kama mnavyotaka
Kivipi mkuu
Yani huyu Mwamba yeye kafika Oral sasa ashajipa Ticket kabisa afu anavoongea utafikiri sisi tumekataa kwamba hatafauru yani hataki Tuongelee kuhusu kufeli au kufauru yani yeye tuongelee tu kwamba ashapata kazi tayariWe jamaa unafurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuachana na hiyo mada mkuu...!!!!Kivipi mkuu
Wachawi ni wengi sanaYani huyu Mwamba yeye kafika Oral sasa ashajipa Ticket kabisa afu anavoongea utafikiri sisi tumekataa kwamba hatafauru yani hataki Tuongelee kuhusu kufeli au kufauru yani yeye tuongelee tu kwamba ashapata kazi tayari
Tuachana na hiyo mada mkuu...!!!!
Kitaa ni kwa moto....Lengo la thread Tunataka PDF
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Yani huyu Mwamba yeye kafika Oral sasa ashajipa Ticket kabisa afu anavoongea utafikiri sisi tumekataa kwamba hatafauru yani hataki Tuongelee kuhusu kufeli au kufauru yani yeye tuongelee tu kwamba ashapata kazi tayari
Nanukuu.Hapa ndiyo umeongea la maana sasa naona umetambua kwamba kuna KUTOKUPATA na KUTOINGIA DATABASE na kwamba MAISHA HAYANA FORMULA
Sihitaji ninachotaka kaziYan huyu jamaa hata lile joto la mada za status la selected vs not selected hajalionja ashakimbilia direct kwenye database[emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁Sasa nafurahisha nini naona wachawi ni wengi Sana humu ndani.
Wanachukia sana hata Kuona watu wanapata kazi
Kwanza hata halijui suala la Status kabisaYan huyu jamaa hata lile joto la mada za status la selected vs not selected hajalionja ashakimbilia direct kwenye database[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi pia niliambiwa hivyo hivyo mwaka 2017 na mwaka 2021 lakin nilikosa kaz😁😁Nanukuu.
"Hongereni kwa kufaulu mtihani wa kuandika ,mmekuja hapa kukamilisha hatua ndogo tu,tuongee na nyie muongee Ila nyie tayari ni watumishi wa umma na mna sifa za kuwa watumishi wa umma."
Aliyesema AFISA mmoja wa.utumishi tukiwa tunajiandaa kwenye oral