HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imebidi nicheke aseeeh haya mambo yajayo yanafurahisha ingia kwenye app baada ya wiki isome status afu tuambie hapa tukupe muongozo
Mimi sio mgeni jf mzee natumia id mpya nikwambie.

App selected for oral
Web selected for oral.

Just wait and see.

Msiniaminishe mnachokiamini nyie niacheni na ninachokiamini mimi
 
Tuachane naye tu Maana naona anapaniki
sisi tukimwambia ukweli anasema wachawi.. masuala ya kupata placement ni Mungu mwenyewe ndiye anayeamua... na wala sio binadam.. haina maana kujivu vizuri basi ww ni uhakika kikubwa omba Mungu aruhusu tu. na sisi tunamwombea apate maana pia nasi na wahanga wenzie pia tunaomba tupate.
Nimewaambia wakuu ninamwamini Mungu na ndio nimesema Atanisaidia nitapata hii.nafasi hata nisipopata nitabaki database tuombeane mafanikio.

Roho mbaya haijengi
 
Mimi sio mgeni jf mzee natumia id mpya nikwambie.

App selected for oral
Web selected for oral.

Just wait and see.

Msiniaminishe mnachokiamini nyie niacheni na ninachokiamini mimi
Ilifanya oral lini? Kuwa mwenyeji haimanishi unajua subiri ibadilike then kama itarudi kuwa hivyo ndo useme neno lakini kama ilifanya juzi subiri week kama nilivyokwambia halafu rudisha mrejesho mzee utumishi wanakuwaga na kawaida ya kuwashangaza watu
 
Mnajikuta uzi kama wenu vile.

Nimeshawagundua .

Wengi roho mbaya zimewajaa hampendi kuona wenzenu wanapata kazi.
Unanifurahisha sana🤣🤣🤣🤣 sidhani kama kuna mtu hapendi mwenzake apate kazi kila mtu humu tunatamani sote tupate kazi haya tunayokueleza ni ukweli halisi ondoa hizo fikra mkuu
 
Wakuu humu ndan hata una stress unacheka, Haya kuna Ile stress ya tayari ushapata kazi ushajaza fomu bado kuitwa kazini sasa huo muda wanaochukua
Hiv ukishajaza form Kuna kusubir tena?maake sisi turiripot julai 16,tukaacha Chet Cha form 4 na 6 pekeake vihakikiwe,wakasema watapiga simu,juzi tu ndo simu imepingwa,tumesubir mwezi mzima,wiki hii tunaenda kujaza mikataba na maform na kupeleka account namba,Ina maana tutarud Tena kusubir?
 
Hapana mkuu wakipiga cm ukifika watachukua taarifa zako mfano
1 .account no
2 . Person information
3. Forma ya doctor
4 place of dominance
Ukimaliza Hapo inakuwa tayar umeaza kazi mwisho wa mwez lazima upate mpunga maana ukijaza izo taarifa wakati unasaign Ile forma ya parment and pensionable lazima utaona check no Yako
 
Back
Top Bottom