Mkuu unaripot unajaza fomu alafu unaambiwa urudi watakupigia sim mwezi unaisha...sisi mtaani tumeshapachoka tumekaa sanaaaa watuite tukapige kaziiStress za nini mkuu na ushaingia kwenye system tyr?
Mkuu unaripot unajaza fomu alafu unaambiwa urudi watakupigia sim mwezi unaisha...sisi mtaani tumeshapachoka tumekaa sanaaaa watuite tukapige kaziiStress za nini mkuu na ushaingia kwenye system tyr?
Utaitwa mkuu subra muhimu...kazi ushapataMkuu unaripot unajaza fomu alafu unaambiwa urudi watakupigia sim mwezi unaisha...sisi mtaani tumeshapachoka tumekaa sanaaaa watuite tukapige kazii
Hapo sielew mkuu , ila watuite tu kazini kama mtaani tumeshakaa sanaHiv ukishajaza form Kuna kusubir tena?maake sisi turiripot julai 16,tukaacha Chet Cha form 4 na 6 pekeake vihakikiwe,wakasema watapiga simu,juzi tu ndo simu imepingwa,tumesubir mwezi mzima,wiki hii tunaenda kujaza mikataba na maform na kupeleka account namba,Ina maana tutarud Tena kusubir?
Sawa mkuuUtaitwa mkuu subra muhimu...kazi ushapata
jamaa unani furahisha sana ,endelea kuwepo hapa ututoe stress ma chronic joblessMkuu kama unaroho ya kichawi hata oral haujafika. Sasa nakuambia kazi nitapata na nitakuletea ushuhuda .
Sidhani wote humu ndani watafuta kazi.
Naona wengine wakandaji PSRS
Naam nakaziaaa IT hautuangushagi wewe nimtu wetu shusha dude zitoooooOya ,IT fanya mambo basi aisee ? ,Mkeka mkeka mkeka mkeka , tunasubiri mikeka /pdf nzito .
Fanya mambo IT
Kwahiyo ndugu siku nikienda tu kupeleka hizo documents,ndo siku hiyo hiyo nitapata na check namba?hata ikitokea placement ya taasisi X nilioomba pia(nilifanya oral mbili moja placement tyr ya LGAs)siwezi Tena kwenda huko kwingine?Hapana mkuu wakipiga cm ukifika watachukua taarifa zako mfano
1 .account no
2 . Person information
3. Forma ya doctor
4 place of dominance
Ukimaliza Hapo inakuwa tayar umeaza kazi mwisho wa mwez lazima upate mpunga maana ukijaza izo taarifa wakati unasaign Ile forma ya parment and pensionable lazima utaona check no Yako
Duuh fomu gan hyo ya parmanent and pensionable sisi tumejaza fomu kadhaa kama y daktari, domicile na personal info ila hyo y checknamba hatujaonaHapana mkuu wakipiga cm ukifika watachukua taarifa zako mfano
1 .account no
2 . Person information
3. Forma ya doctor
4 place of dominance
Ukimaliza Hapo inakuwa tayar umeaza kazi mwisho wa mwez lazima upate mpunga maana ukijaza izo taarifa wakati unasaign Ile forma ya parment and pensionable lazima utaona check no Yako
Form ya kwanza ni OFFER OF APPOINTMENT ( itaonesha vitu vifwatavyo )Duuh fomu gan hyo ya parmanent and pensionable sisi tumejaza fomu kadhaa kama y daktari, domicile na personal info ila hyo y checknamba hatujaona
Mkuu hii bado hii hatujaipew mesaini nyingine kisha nikaambiwa niende nitaitwa hii badoForm ya kwanza ni OFFER OF APPOINTMENT ( itaonesha vitu vifwatavyo )
1 sehemu ambayo umepatakazi ,
2 kada Gani ,
3 basic salary na kiwango cha increment
4 nyuma ya hii form utaweza kusaign kama umekubali kuliwapa iyo salary
Then unavorudisha hii form unapewa form ya pili ambayo ni
LETTER OF APPOINTMENT ON PERMANENT AND PENSIONABLE TERM
Itaonesha vitu vifwatavyo
1 kada Yako
2 tarehe ya kuazia kazi
3 initial salary will bee .....
Kwenye hii forma Amna sehemu ya kusaign ww ila ipo sehemu ambayo amesaign MKUU WAKO ( DG) pia upande wako wa kushoto utaona check no Yako
Sawa mkuu ukipewa izo.basi mwisho wa mwezi lazima upate mpunga wakoMkuu hii bado hii hatujaipew mesaini nyingine kisha nikaambiwa niende nitaitwa hii bado
Ipo ivi mkuu Ili uwe mtumishi wa uma sio tuu kupata kazi lakini lazima uweze kusaign forma ambayo inaitwa OFFER OF APPOINTMENT , ukisaign iyo form means upo tayar na umekubali kufanya kazi kwenye iyo taasisi atakama umesaini mwez mmoja nyuma alafu ukapata kazi sehemu nyingine jina lako kwenye system litaonesha tayar ww ulishapata kazi mkuu , ndo maana unaweza pata kazi ila usiende kureport iyo sehemu bado utaonekana ww sio mtumishi wa uma ila ukisaign Ile form ya OFFER OF APPOINTMENT ww tayar ni mtumishi wa uma , mfano kunamtu niliona alikataa kusaign Ile offer of appointment but wiki Moja mbele alipata kazi sehemu nyingine yenye salary kubwaKwahiyo ndugu siku nikienda tu kupeleka hizo documents,ndo siku hiyo hiyo nitapata na check namba?hata ikitokea placement ya taasisi X nilioomba pia(nilifanya oral mbili moja placement tyr ya LGAs)siwezi Tena kwenda huko kwingine?
Asante sana ndugu,umenifungua sana ufahamu wangu,hapa ngoja niwape visababu vya msingi,vya kutofika kwa wakati ili nicheleweshe mchakato,huku nasubir hii ya piliIpo ivi mkuu Ili uwe mtumishi wa uma sio tuu kupata kazi lakini lazima uweze kusaign forma ambayo inaitwa OFFER OF APPOINTMENT , ukisaign iyo form means upo tayar na umekubali kufanya kazi kwenye iyo taasisi atakama umesaini mwez mmoja nyuma alafu ukapata kazi sehemu nyingine jina lako kwenye system litaonesha tayar ww ulishapata kazi mkuu , ndo maana unaweza pata kazi ila usiende kureport iyo sehemu bado utaonekana ww sio mtumishi wa uma ila ukisaign Ile form ya OFFER OF APPOINTMENT ww tayar ni mtumishi wa uma , mfano kunamtu niliona alikataa kusaign Ile offer of appointment but wiki Moja mbele alipata kazi sehemu nyingine yenye salary kubwa
Sio kwa ubaya lakini jobless tuliowahigi kuhaso na ambao bado tukisikia watu Wana ma OPTION kama hivi WAKATI tunatafuta uwa tunaumia kweliAsante sana ndugu,umenifungua sana ufahamu wangu,hapa ngoja niwape visababu vya msingi,vya kutofika kwa wakati ili nicheleweshe mchakato,huku nasubir hii ya pili
Ni kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,Sio kwa ubaya lakini jobless tuliowahigi kuhaso na ambao bado tukisikia watu Wana ma OPTION kama hivi WAKATI tunatafuta uwa tunaumia kweli
Upo sahihi mkuu lakini kumbuka kunamaisha baada ya kupata kazi ndo maana kunawatu wanagoma kusaign coz we different in objective even in howbackground , coz kunawatu wanapata kazi lakini bado wanlipiwa Kodi na wazazi wao mpk Amalize mwaka kazini ndoa ataaza kulipa mwenyewe Tena akipendaSio kwa ubaya lakini jobless tuliowahigi kuhaso na ambao bado tukisikia watu Wana ma OPTION kama hivi WAKATI tunatafuta uwa tunaumia kweli
haina noma brother naelewaNi kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,
Sawa broUpo sahihi mkuu lakini kumbuka kunamaisha baada ya kupata kazi ndo maana kunawatu wanagoma kusaign coz we different in objective even in howbackground , coz kunawatu wanapata kazi lakini bado wanlipiwa Kodi na wazazi wao mpk Amalize mwaka kazini ndoa ataaza kulipa mwenyewe Tena akipenda