Logi
Member
- May 2, 2018
- 47
- 202
Naona tayari figisu figisu zimeshaanza mdogo mdogo: Hivi ni kweli kwa nafasi hizi za kuanzia kabisa fresh graduates yaani Engineer II, Economist II, ICT Officer II anaweza kuitwa mtu mmoja tu kwenye usajili wakati huku kitaa wamejaa tele ina maana aliomba mtu mmoja tu au?. Hayo ndo mambo yanayoendelea huko TANROADS na kwingineko.
Hujaelewa labda hayo ni majina ya nyogeza kaangalie tena