Tumwambie au tuachane naye?Kwanza hata halijui suala la Status kabisa
Tumwambie au tuachane naye?Kwanza hata halijui suala la Status kabisa
Selected for Null[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwanza hata halijui suala la Status kabisa
Tuachane naye tu Maana naona anapanikiTumwambie au tuachane naye?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Selected for Null[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usikute tumerudi kule kule mpaka kimulimuli kizime ndo kinawaka kingine😅😅😅Alie na namba ya IT ampigie amwambie atujazoea hii hali haswa kwa wiki hizi mbili tatu zilizopita
ASHUSHE PDF. . . !
😂😂😂😂😂Imebidi nicheke aseeeh haya mambo yajayo yanafurahisha ingia kwenye app baada ya wiki isome status afu tuambie hapa tukupe muongozoNanukuu.
"Hongereni kwa kufaulu mtihani wa kuandika ,mmekuja hapa kukamilisha hatua ndogo tu,tuongee na nyie muongee Ila nyie tayari ni watumishi wa umma na mna sifa za kuwa watumishi wa umma."
Aliyesema AFISA mmoja wa.utumishi tukiwa tunajiandaa kwenye oral
Yah database inafanya kaziNimeanza kuziona roho mbaya hata Humu.
Mwanzoni nilijua tuko njia moja.
Kama sisi wote wapambanaji ilibidi hata mnipongeze maana kuingia kwenye oral tu nimepambana vita vikubwa.
Ukija kwa upande wangu oral nimefanya kadri ya uwezo wangu mengine nimemwachia Mungu.
Tumeona DATABASE inawabeba watu kila siku na wanatoa shuhuda Ila watu humu mshaanza yenu.
Namalizia kwa kusema.
Nitapata kazi tu,kwa uwezo wa Mungu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imebidi nicheke aseeeh haya mambo yajayo yanafurahisha ingia kwenye app baada ya wiki isome status afu tuambie hapa tukupe muongozo
😂😂😂😂😂 utajua ujui😂😂😂Utajua Ujui
😂😂😂 We jamaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wakandaji sio watu wazuri.Wachawi ni wengi sana
Changanua vizuri hayo maneno na wakati yalipotolewa.Nanukuu.
"Hongereni kwa kufaulu mtihani wa kuandika ,mmekuja hapa kukamilisha hatua ndogo tu,tuongee na nyie muongee Ila nyie tayari ni watumishi wa umma na mna sifa za kuwa watumishi wa umma."
Aliyesema AFISA mmoja wa.utumishi tukiwa tunajiandaa kwenye oral
😄😄😄 IT kishaona muda sio mrefu anafurahisha vijana.Alie na namba ya IT ampigie amwambie atujazoea hii hali haswa kwa wiki hizi mbili tatu zilizopita
ASHUSHE PDF. . . !
Tatizo lako siku hizi upush ile agenda ya IT NI MTU WETU (ukiweka na vile vi emoj) vilikuwa vinampa morali IT😄😄😄 IT kishaona muda sio mrefu anafurahisha vijana.
Mwamba steling vp IT leo ajakutonya lipdf ata la page 10 si mtu wetu huyu.Changanua vizuri hayo maneno na wakati yalipotolewa.
Mwenzako ana imani kali sana ameshaingia database we unamletea mambo ya status tena🤣🤣🤣🤣🤣 jamaa yupo database tayari hata kama ikisoma not selected ana imani yupo database😂😂😂😂😂Imebidi nicheke aseeeh haya mambo yajayo yanafurahisha ingia kwenye app baada ya wiki isome status afu tuambie hapa tukupe muongozo
Vimuli muli vimezima vya kutosha leo mzigo wa pdf inshallah utapanda hewani😄😄😄 IT kishaona muda sio mrefu anafurahisha vijana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute IT anasubiri adi vizime vyote[emoji16][emoji16][emoji16]Vimuli muli vimezima vya kutosha leo mzigo wa pdf inshallah utapanda hewani
Hamna mkuu leo naamini haipiti patupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute IT anasubiri adi vizime vyote[emoji16][emoji16][emoji16]
😀😃😀 IT ni mti wetu. Atashusha kitu.. Huu ni msimu wa shuhudaTatizo lako siku hizi upush ile agenda ya IT NI MTU WETU (ukiweka na vile vi emoj) vilikuwa vinampa morali IT