Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 899
Nitajuaje kama nimefaulu oralHongera kwa interview. Lakini Kuingia Oral sio database mkuu mpaka ufaulu oral pia.
Nitajuaje kama nimefaulu oralHongera kwa interview. Lakini Kuingia Oral sio database mkuu mpaka ufaulu oral pia.
Ukiingia Oral hata usipochaguliwaa Jina linaenda Database...Hongera kwa interview. Lakini Kuingia Oral sio database mkuu mpaka ufaulu oral pia.
Hapana database ni mpaka ufaulu.... ila ukose na nafasi ko jina linatunzwa kama kumbukumbu iwapo nafasi ikipatikana unapewa kaziUkiingia Oral hata usipochaguliwaa Jina linaenda Database...
Ukiingia oral na ukapata below 50% sina uhakika kama unaingia databaseUkiingia Oral hata usipochaguliwaa Jina linaenda Database...
Sio kama kumbukumbu sisi Jana wametuambia wote tuliongia kwenye oral tunasifa ya kuwa watumishi wa umma.Hapana database ni mpaka ufaulu.... ila ukose na nafasi ko jina linatunzwa kama kumbukumbu iwapo nafasi ikipatikana unapewa kazi
Ngumu Sana kupewa Below 50% kwenye OralUkiingia oral na ukapata below 50% sina uhakika kama unaingia database
Umejibu vyema ..Ukiingia Oral hata usipochaguliwaa Jina linaenda Database...
Umejibu vyema ..
HAKUNA MTU ANAYEFELI ORAL.
Umesoma kanuni za PSRS za Utumishi kuhusu Database??Ukiingia Oral hata usipochaguliwaa Jina linaenda Database...
NaziombaUmesoma kanuni za PSRS za Utumishi kuhusu Database??
Yeye anajua.... Ukifika Oral hufeli ..moja kwa moja kqenye data base,, sijui maana ya kufanya oral ni ninNaziomba
Mambo yanayogusa maslahi ya watu hua ni magumu sana kuyacontrolARUSHA: Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema kuwa kuna wimbi la watumishi ambao wanakimbilia kuomba uhamisho kutoka katika taasisi zao kwenya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) na Mamlaka ya Udhibiti Nishati na Maji (EWURA).
Akizungumza katika Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, Mchechu amesema kumekuwa na ‘Mafuriko’ ya maombi kwenda taasisi hizo akisisitiza kuwa “watu wanataka kwenda huko kwa kuwa mapato ni mazuri.”
Amewataka Watendaji kusaidia kuboresha taasisi zao ili kuwezesha mashirika hayo kusimama.
Hata hivyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema baadhi ya Taasisi zimekuwa zikipelekewa watumishi ambao hawana uwezo akishauri kufanyike uchambuzi ili watu wanaohamishwa wawe na sifa zinazohitajika katika taasisi husika.
“Unakuta kuna taasisi inaletewa watu ambao hata haiwahitaji kwa sababu tu ni watumishi wa umma, nadhani hili nalo lifanyiwe kazi,” ameshauri CAG.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu bwana kujipa moyo, inawezekana vipi kusiwe na kufaulu na kufeli kama ni hivyo oral ingefutwa ibaki written tuKwani waliofeli written wote unafikiri hawana uwezo?
Haya maswala hayatabiriki inategemea na pepa limekukutaje sitaki kuamini kwamba watu hawafeli oral.
Kwanini inabaki siri kwao matokeo ya oral.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu bwana kujipa moyo, inawezekana vipi kusiwe na kufaulu na kufeli kama ni hivyo oral ingefutwa ibaki written tu
Sasa mkuu hilo sio swali la kuniuliza mimiKwanini inabaki siri kwao matokeo ya oral.....
Mkuu ufafanuzi Zaid kwa ili, naona kuna jipya linataka kuibuka tena hapaSio kama kumbukumbu sisi Jana wametuambia wote tuliongia kwenye oral tunasifa ya kuwa watumishi wa umma.
So najua kufanya oral sio kuwa kwenye database.
Lakini Je kama nimejibu majibu yote wakuu kwa confidence?
Halfu sio majina ya ziada inaitwa (DATABASE)
Kuna mdau alisema ukiwaomba wanakupa matokeoKwanini inabaki siri kwao matokeo ya oral.....
Hatari na nusu!!Wote wawili maafisa hesabu wewe unaanza na laki 7 bila posho yeyote mwenzako anaanza na 2M + transport 10%+accomodation 13%+ bonus ya sikukuu.
Nani anataka kula unga mkavu kama nyoka?