Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,014
Dah watu 100 si mchezo, hongereni mliolamba asali.
yan sikuhizi psrs ni mwendo wa kuachia PDF kila siku, usishangae jion wakaachia tena pdf ya kufungia wikiKuna pdf kule, nendeni mkaangalie mlete ushuhuda hapa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mkuu wa umemaliza chuo mwezi uliopita?PDF iko sehem gan
Wanaupiga mwingiii sanaa..... Chukueni maua yenu Sekretarieti ya AjiraKuna haja ya kuwapigia simu ya pongezi hawa psrs[emoji3]
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Itakuwa at website ya psprs haifahamu, msamehe bureMkuu wa umemaliza chuo mwezi uliopita?
Dah kuna kada zina fursa mpaka natamani nakasome tenaDah watu 100 si mchezo, hongereni mliolamba asali.
Kama uwezi msaidia si ukaushe, we jamaa unajifanya unajua SanaMkuu wa umemaliza chuo mwezi uliopita?
Mzee wa not selected punguza makasirkoKama uwezi msaidia si ukaushe, we jamaa unajifanya unajua Sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] Sam mirror mzee wa vita vita muraaKama uwezi msaidia si ukaushe, we jamaa unajifanya unajua Sana
Zamu yako itafika kazi utapata mkuu...hapo nimemuuliza swali wew mbona unamjibia?Kama uwezi msaidia si ukaushe, we jamaa unajifanya unajua Sana
Usinichukie bure mkuu sisi wote hapa wasaka tonge tu...relax...kwnz mi sijawahi sema mwenye ako na not selected basi kashakandwa ww tu na wasi was wakoKama uwezi msaidia si ukaushe, we jamaa unajifanya unajua Sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28]Usinichukie bure mkuu sisi wote hapa wasaka tonge tu...relax...kwnz mi sijawahi sema mwenye ako na not selected basi kashakandwa ww tu na wasi was wako