Wanaita mtu mmoja mmoja sijui kwa nini
WanakeraWanaita mtu mmoja mmoja sijui kwa nini
Mbona waajiri wengine wanaita watu wote wote hawa MDAs sijui wana shida gani yani unasubiri unaona jina moja mengine haujui yanatoka lini sasa si bora wasitoe tu mpaka majina yote yakamilike ndo watoe , mwezi wa sita wamefanyisha interview na bado mwezi wa 7 tena kwa style hii ya jina moja moja si majina yatatoka mpaka mwakani aisee hawa MDAs& LGAs sijui kuna shida gani huko🤔🤔Wanakera
wanakera hawajui mtaani kuna waka motoMbona waajiri wengine wanaita watu wote wote hawa MDAs sijui wana shida gani yani unasubiri unaona jina moja mengine haujui yanatoka lini sasa si bora wasitoe tu mpaka majina yote yakamilike ndo watoe , mwezi wa sita wamefanyisha interview na bado mwezi wa 7 tena kwa style hii ya jina moja moja si majina yatatoka mpaka mwakani aisee hawa MDAs& LGAs sijui kuna shida gani huko🤔🤔
Mbona waajiri wengine wanaita watu wote wote hawa MDAs sijui wana shida gani yani unasubiri unaona jina moja mengine haujui yanatoka lini sasa si bora wasitoe tu mpaka majina yote yakamilike ndo watoe , mwezi wa sita wamefanyisha interview na bado mwezi wa 7 tena kwa style hii ya jina moja moja si majina yatatoka mpaka mwakani aisee hawa MDAs& LGAs sijui kuna shida gani huko🤔🤔
Chenga sanaMbona waajiri wengine wanaita watu wote wote hawa MDAs sijui wana shida gani yani unasubiri unaona jina moja mengine haujui yanatoka lini sasa si bora wasitoe tu mpaka majina yote yakamilike ndo watoe , mwezi wa sita wamefanyisha interview na bado mwezi wa 7 tena kwa style hii ya jina moja moja si majina yatatoka mpaka mwakani aisee hawa MDAs& LGAs sijui kuna shida gani huko🤔🤔
Daah hawajui tu yani unasubiri halafu unaona jina moja afu siyo lako😂😂 bora watoe yote bana ili mtu ujue mengine siyo leo limetoka moja unakaa na kazi ya kuhesabu bado nafasi ngapi hii kitu inakera seriously 🙌wanakera hawajui mtaani kuna waka moto
watalifanyia kaziDaah hawajui tu yani unasubiri halafu unaona jina moja afu siyo lako😂😂 bora watoe yote bana ili mtu ujue mengine siyo leo limetoka moja unakaa na kazi ya kuhesabu bado nafasi ngapi hii kitu inakera seriously 🙌
Mtu kakaa tu,anawaza kesho itakuaje,,ghafla anapigiwa simu kwamba kuna pdf kalamba asali,,,enewei hongera wote walopata,,,Kuna pdf huko lingine mkachungulie
Vipi Kwa upande wako mkuu
Hongera mwamba maliza na issue ya status ikoje?Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Nakumbuka ulikuwa unatutakia Kheri sana wote.Huku ukisema Hongera na Usisite kujipongeza na kumshukuru mwenyezi Mungu Kwa Shuhuda.Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sanaaaaaaHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sanaHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika safari yako ya utumishiHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana nakumbuka ulikuwa ukiwapongeza watu sana na kuwakumbusha kutoa shukran kwa mwenyezi Mungu hatimaye na wewe leo umefikiwa nasi tunakupongeza sana na kukumbusha kutoa sadaka ya shukran kwa MunguHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana kaka usisahau kutoa shukran kwa Mungu na ukawe Mtumishi mwemaHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.