HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukiwa unafungua Account ya Benki, nyaraka zinazohitajika ni pamoja na Cheti cha kuzaliwa(huwa kuna majina 3 kwenye hiki cheti na ndio yanayoandikwa kwenye account namba).

Sasa kwenye vyeti majina yanatakiwa yafanane na ya kwenye cheti cha kuzaliwa, kwa hiyo yatafanana pia na majina ya Account number.

Kuhusu kutumia account yenye majina tofauti na ya kwenye vyeti sina uzoefu nalo ila kwa kuhakikisha taarifa ziwe sawa na wajue kuwa mwenye account ni fulani inabidi majina yafanane
Siku hizi MAMBO yamebadilika, unatakiwa uwe na NIN tu, ili kufungua AKAUNTI..tunahama kwenye kutembea na MAKARATASI.
 
Hivi kwa nini tusichange siku ya birthday ya IT wa sasa tumnunulie keki
kabisa huyu jamaa inawezekana na yeye anapush kimtindo kutoka kwa pdf hadi weekend jamaa anaweka vitu.

Lakini kama anaaccess ya kuwasumbua wanaokwamisha pdf za muda mrefu ili watu wao wanaojitolea waliokandwa waendelee kula bata alafu watu wanaishi kwa stress, apush waruhusu mikeka itoke. IT wetu hana baya pdf ikiwa tayari anaipress majobless tunaizoom chapu na kutoa shuhuda.
PLACEMENT UNAKAA MWAKA kama vile kazi tunapata wote, mambo ya ajabu sana haya.

Kuna watu wachawi wa chinichini wanajificha kwa kuvaa suti. 🚶🚶.

IT press button kwa pdf zilizopo usizibanie hazitagi hizo. Wewe ni mtu wetu.
 
Mkuu bado hujachomokaa?
 
IMG_20230813_155840.jpg
 
Kiukweli kabisa sisi watoto wa masikini tuendelee kuomba swala la kusimamia ajira ibaki psrp mapunguvu madogo madogo watarekebisha kama tunavoona sahivi IT Yuko vizuri maana sijui ingekuaje bila wao,wengine hatuna connection hata ya mtendaji tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa unafungua Account ya Benki, nyaraka zinazohitajika ni pamoja na Cheti cha kuzaliwa(huwa kuna majina 3 kwenye hiki cheti na ndio yanayoandikwa kwenye account namba).

Sasa kwenye vyeti majina yanatakiwa yafanane na ya kwenye cheti cha kuzaliwa, kwa hiyo yatafanana pia na majina ya Account number.

Kuhusu kutumia account yenye majina tofauti na ya kwenye vyeti sina uzoefu nalo ila kwa kuhakikisha taarifa ziwe sawa na wajue kuwa mwenye account ni fulani inabidi majina yafanane
Kwa case ya majina ya account na vyeti kutofautiana, itabidi uende mahakani wakakupe kiapo chenye uthibitisho kua majina yote uliyoyatumia ni yako then nadhani utaenda pamoja na hicho kiapo.
 
Back
Top Bottom